• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

NAIBU WAZIRI WA ELIMU ARIDHISHWA NA KAZI INAYOENDELEA CHUO CHA UALIMU TANDALA

Tarehe Iliyowekwa: October 4th, 2018

Naibu waziri Mh. Willium Olenasha akiwa katika chuo cha Ualimu Tandala kilichopo Wilayani Makete Mkoa wa Njombe ikiwa ni moja kati ya ziara za ufuatiliaji wa utekelezaji wa sera ya elimu ya kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia.

Akiwa katika ziara hiyo Naibu Waziri alizungumzia dhamira ya Serikari ya kuimarisha sekta ya elimu kwa kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia, kwani imewekeza fedha nyingi kwa ajili ya ujenzi na ukarabati ngazi zote za kutolea elimu zinazosimamiwa na Serikali ikiwa ni pamoja na vyuo vya elimu, shule za sekondari na elimu ya msingi.

Akizungumza na wanachuo pamoja na wananchi waliohudhuria katika mkusanyiko huo, alikiri kuridhishwa na kazi ya ujenzi na ukarabati uliofanyika chuoni hapo nakusema kuwa fedha iliyotolewa imefanya kazi iliyokusudiwa kwani Serikari kupitia Wizara ya Elimu ilitoa shilingi million moja na laki moja (1.1milion) kwa ajili ya ukarabati wa chuo cha Ualimu Tandala.

Pia hakusita kutoa pongezi za dhati kwa  Halmashauri ya Wilaya ya Makete pamoja na bodi ya chuo cha Ualimu Tandala, vilevile alitoa shukrani za pekee kwa chuo kikuu cha MUSTI kwani ndicho kinachosimamia na kutoa maelekezo katika zoezi laujenzi na  ukarabati wa chuo hicho.

Vile vile alionesha adhima ya Serikali ya kupitia mitaala ya elimu ya ualimu ili kuwa na walimu bora watakaoendana na mazingira ya sasa kwani nchi yetu ipo kwenye mchakato wa kuimarisha uchumi wa kiwango cha kati uchumi unaotegemea viwanda, hivyo hata walimu inabidi watoe elimu ya kisasa itakayowawezesha wahitimu kuendana na soko la ajira la sasa.

"Habari imeandaliwa na Mbilinyi GD"

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 18, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWENYE MIRADI KIKAMILIFU

    June 04, 2025
  • MAKETE IPO TAYARI KWA BBT

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.