• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

BITEKO APONGEZA UTUNZANI WA VYANZO VYA MAJI WILAYANI MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: February 22nd, 2024

Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia  ni Waziri wa Nishati,  Mhe. Dotto Biteko amewapongeza wananchi wa Wilaya ya Makete, mkoani Njombe kwa utunzaji wa mazingira na vyanzo vya maji, ambavyo vimepelekea mto Lumakali kuendelea kutiririsha maji ya kutosha.

Mh. Biteko amesema hayo leo Februari 22, 2024,  akiwa Wilayani Makete, wakati ametembelea eneo ambalo litajengwa  Bwana la Kufua umeme, katika Kijiji cha Madihani, Kata ya Kipagalo, na kwamba  Rais  Dkt. Samia Suluhu Hassan,  amekusudia kwa dhati kutekeleza mradi huo wa uzalishaji Umeme kutokana na umuhimu wake kwa Taifa.

Aidha, Mhe. Niteko amesema kuwa mradi huo  wa umeme wa Lumakali utachukua zaidi ya miezi 60 hadi kukamilika kwake, ambapo utaenda kuongeza  megawati zaidi ya 200 katika gridi ya Taifa na kupunguza kabisa shida ya upungufu wa nishati hiyo.

Sambamba na hayo, Naibu Waziri Mkuu Biteko,  amesema usanifu wa mwisho  umekamilika mwaka 2022, ambapo  tayari utekelezaji umeanza, huku akimpongeza mbunge wa Jimbo la Makete Mh.Festo Sanga kwa kuendelea kuusemea bungeni mradi huo wa Umeme.

Naye, Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mh. Antony Mtaka amesema kuwa,  serikali  inatekeleza miradi mingi ikiwemo huo wa umeme,  hivyo wananchi waendelee kuiunga mkono Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, na kuwasihi wazazi kuwapeleka watoto shule kwakuwa Mhe. Samia amewekeza katika elimu, ambayo ndio Urithi pekee wa Mtoto.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Juma S. Sweda ameishukuru serikali kwa kuanza kutekeleza mradi huo, kwani unafaida kubwa kwa wananchi ikiwemo upatikanaji wa umeme wa uhakika, sambamba na kutengeneza ajira kwa wananchi wa maeneo hayo.

Hata hivyo, Mbunge wa Jimbo la Makete Mhe. Festo Sanga amesema kufika kwa Waziri Biteko kunaendelea  kunawapa matumaini ya utekelezaji wa mradi huo, na  kuishukuru  serikali kupitia shirika la umeme Tanzania, (TANESCO), kwa kuanza kutathmini gharama ya fidia.

Ikumbukwe kuwa, Naibu Waziri Mkuu, na Waziri wa Nishati, Mhe. Doto Biteko, Leo Februari 22, 2024, ameendelea na ziara ya Ukaguzi wa Miradi mkoani Iringa.













ReplyForward


Add reaction










Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 18, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWENYE MIRADI KIKAMILIFU

    June 04, 2025
  • MAKETE IPO TAYARI KWA BBT

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.