• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DC JUMA SWEDA AANZA ZIARA MAKETE, AHIMIZA UJENZI KUFUATA RAMANI RASMI ZA SERIKALI

Tarehe Iliyowekwa: July 1st, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda amewataka Viongozi wa ngazi za Kata na Vijiji kuhakikisha wanapata ramani zilizoidhinishwa na Serikali na kufuata ushauri wa wahandisi wa ujenzi wakati wa kutekeleza shughuli za ujenzi wa majengo kama ya Zahanati, Vituo vya Afya, Shule, mabweni, Ofisi za Serikali nk.

DC Sweda ameyasema hayo wakati wa ziara yake akiwa ameambatana na wataalam mbalimbali wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete kukagua maendeleo ya ujenzi wa miradi mbalimbali iliyopo Idara za Elimu, Utawala, Maji (RUWASA), Barabara (TARURA) pamoja na Afya.

"Ni lazima tuwe na majengo imara na bora yaliyofuata ramani maalum za Serikali, sio hawa wanatumia ramani hii na wale wanatumia ramani tofauti kwenye miradi ya aina moja. Watendaji ngazi za Kata na Vijiji hakikisheni mnapokua na mipango ya ujenzi mnawasiliana na Ofisi husika ili kupata msaada wa ramani na msaada wa kitaalamu kwenye utekelezaji wa miradi hiyo" amesisitiza DC Juma Sweda.

DC Juma Sweda ameanza ziara yake kwa kuitembelea miradi iliyopo ndani ya Kata za Mang'oto, Tandala, Lupalilo, Iwawa, Isapulano, Kitulo na Matamba.


Imetolewa na

Omega Thobias

Afisa Habari Makete DC

#MaketeWilayaYaKazi

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MAKETE DC AAGIZA KUKAMILIKA HARAKA KWA NYUMBA PACHA YA WATUMISHI KITUO CHA AFYA KIPAGALO

    September 11, 2025
  • TARI YARIDHIA KUJENGA KITUO CHA UTAFITI WA MBEGU MBORA ZA KILIMO CHA VIAZI MVIRINGO NA TUFAA WILAYANI MAKETE

    September 10, 2025
  • DED MAKETE AWATAKA WATUMISHI WAPYA KUYAISHI MAADILI YA KIUTUMISHI WA UMMA

    September 02, 2025
  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.