• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DC KISSA, CHANJO YA IPV 2 NA ROTA NI SALAMA NA BORA ZAIDI KWA AFYA YA MTOTO.

Tarehe Iliyowekwa: April 16th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Kissa Gwakisa Kasongwa, leo Aprili 16, 2025, ametoa wito kwa wazazi na walezi wa watoto wenye umri chini ya Miaka mitano Wilayani humo, kuhakikisha kuwa wanapeleka watoto wao kupata chanjo ya Pili ya IPV 2 na Rota.

Mhe. Gwakisa ametoa rai hiyo, wakati akizindua Chanjo ya Nyongeza ya IPV2 na Rota,  katika Ukumbi wa Bomani, na kubainisha kuwa chanjo hiyo itaanza rasmi Mei 1 hadi Mei 4,2025, na kuendelea kutolewa kama kawaida kwenye vituo vya kutolea huduma za chanjo.

“Chanjo ya Rota inalenga kuzia ugonjwa wa Kuhara unaosababishwa na virusi vya Rota, ambao ni vyanzo vikuu vya vifo kwa watoto chini ya miaka mitano, chanjo hii tunalenga kupunguza vifo vya watoto na kuhakikisha kuwa wana afya njema ili waweze kukua na kuwa na mchango kwa taifa letu pendwa” alisema Mhe. Kissa

Aidha, Mhe. Kissa, amewahakikishia wananchi kuwa chanjo hizo ni salama na bora, hivyo amewasihi kutobabaishwa au kuyumbishwa na taarifa zisizo sahihi ambazo zitawapelekea kutowapa chanjo hiyo watoto wadogo.

Kwa upande wake Mratibu wa Chanjo Wilaya ya Makete, Ndg. Omar Khamis Omar, akiwasilisha umuhimu wa Chanjo hiyo kwa watoto, amesema kuwa chanjo hizo ni muhimu ili kuhakikisha kuwa watoto hawapati ulemavu au kupoteza maisha kutokana na ugonjwa wa Polio.

Ikumbukwe kuwa, Wilaya ya Makete, kwa ujumla imefikia asilimia 89% kwa utolewaji wa chanjo zote zinazotolewa kwa watoto na aslimia 86% kwa chanjo ya sindano dozi ya kwanza ya IPV 1.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA - UTOLEWAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI 2025-2026 November 16, 2025
  • MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA AAGIZA KUKAMILISHA MIRADI KWA HARAKA

    November 26, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI MAKETE DC , JERRY MWAGA, AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII

    November 13, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. KISSA KASONGWA AWATAKA WAFANYABISHARA WILAYANI HUMO KUWEKEZA NYUMBANI

    November 12, 2025
  • DED MWAGA AONGOZANA NA MENEJA TARURA KUKAGUA BARABARA YA MANG'OTO IBAGA

    November 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.