• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DC SWEDA ATIMIZA AHADI YA MSAADA KWA FAMILIA ILIYOMTELEKEZA MTOTO KISA DENI LA MILIONI 2.

Tarehe Iliyowekwa: August 27th, 2024

Mkuu wa wilaya ya makete Mhe. Juma Sweda, leo Agosti 27, 2024 amefanikisha kulipa deni la shilingi milioni mbili kwa Bw. Oscar Mahenge aliyekuwa akiidai familia ya Bw. Chaula kutoka katika kijiji cha Ugabwa kata ya Lupalilo.

Akizungumza mara baada ya kukabidhi Fedha hizo, Mhe. Sweda, amewataka mdai na mdaiwa kuhakikisha kuwa wanasameheana na kuendelea na biashara zao kama kawaida.

Aidha, Mhe. Sweda, akiwa mbele ya viongozi hao wa Kijiji, amesema kuwa mama wa binti aliyeacha shule ili awatunze wadogo zake, atakabidhiwa shilingi milioni mbili, huku milioni moja imsaidie katika biashara yake na milioni moja itahifadhiwa benki.

Kwa upande wao, baadhi ya viongozi wa kijiji hicho akiwemo Mwenyekiti wa kijiji cha Ugabwa Ndg. Obadia Sanga, wamemshukuru Mkuu wa Wilaya kwa jambo kubwa alilolifanya kwenye familia hiyo.

Ikumbukwe kuwa, baba wa Familia hiyo, aliondoka nyumbani hapo baada ya kutofautiana na mke wake, ndipo mama huyo aka hukua uamuzi wa kuondoka kwa Madai ya kukimbia deni la shilingi milioni 2 lililodaiwa kusababishwa na mtoto wake wa kiume.

Sambamba na hayo ,Mkuu huyo wa Wilaya ya Makete, katika ziara hiyo aliambatana na Afisa elimu Sekondari, Afisa Ustawi wa jamii Wilaya ambapo kwa pamoja wamefika katika makazi ya familia ya binti huyo, aliyelazimika kuacha shule ili awatunze wadogo zake na kukutana na viongozi wa eneo hilo pamoja na baadhi ya wananchi

Hata hivyo, binti huyo tayari alisharudi shule ili kuendelea na masomo yake katika Shule ya Sekondari Ilumaki, iliyopo katika Kata ya Lupalilo, Wilaya ya Makete, Mkoani Njombe


Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 18, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWENYE MIRADI KIKAMILIFU

    June 04, 2025
  • MAKETE IPO TAYARI KWA BBT

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.