• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DED MAKETE ASITISHA TOZO YA KIBALI CHA UVUNAJI WA MISITIU BINAFSI

Tarehe Iliyowekwa: June 20th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. Wiliam Makufwe, amesitisha tozo ya kibali cha uvunaji wa misitu binafsi ya kupandwa mpaka pale utaratibu mzuri wa namna gani ya kutekeleza sheria hiyo utakaporekebishwa.

Ndg. Makufwe, amesema hayo leo Juni 20, 2024, akiwa kwenye kikao na wadau wa sekta ya Misitu ambao ni wakulima wa miti, wafanyabishara na wasafirishaji wa mazao ya Misitu, kuwa amesitisha mpaka pale watakapopata maoni na ushauri kupitia vikao ili kupata maamuzi ya pamoja.

Aidha Ndg. Makufwe, amewataka wadau hao kushirikiana katika kupambana na janga la moto, kwakuwa wanaelekea Kipindi cha kiangazi, hivyo kila mmoja atoe taarifa na elimu kwa jamii, ambapo Serikali imeendelea kuweka mikakati kwa uchomaji wa misitu.

"Mwaka 2023 zaidi ya hekari 3000 za miti ziliungua zenye jumla ya thamani Bilioni 4, ambazo ni athari kubwa kwa wakulima ivo kila mmoja awe balozi wa kukemea na kuzuia janga la moto Wilayani Makete" Alisema Makufwe.

Sambamba na hayo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. Makufwe, amesema kuwa mazimio ya kikao cha wadau wa misitu ndio yaliyopelekea kusitisha tozo hiyo na kuongeza kua mageti ya ukaguzi yataendelea ili kujiridhisha idadi ya mbao zinazosafirishwa huku akiwaasa wafanyabishara kuwa waaminifu.

Aidha, Ndg. Makufwe amesema, kila baada ya miezi sita kutakua na kikao cha wafanyabishara wa mazao ya misitu na wakulima wa miti ili kujadiliana changamoto zinazowakabili kwa lengo ni kuijenga Halmashauri pamoja na kujengeana Uelewa wa umuhimu wa kulipa Ushuru.

Kwa Upande wao wadau wa zao hilo akiwemo, Ndg. Faromeo Mahenge ,Alten Sanga na Hongera Mahenge wamepongeza hatua ya Mkurugenzi kuwaita kwenye kikao kwani wamejadili kwa pamoja na kutoka na maazimio ambayo ni madhubuti na kuahidi kushirikiana nae ili kukuza na kuindeleza halmashauri kimapato.

Ikumbukwe kuwa, hapo awali kibali cha uvunaji wa misitu binafsi ya kupandwa iliwekwaa Tsh 100000/= kwa magari madogo, ambapo kiasi cha Tsh 150000/= kuliweka kwa magari Makubwa kama vile Semi trailer ambapo kwa sasa imesitishwa.


Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 18, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWENYE MIRADI KIKAMILIFU

    June 04, 2025
  • MAKETE IPO TAYARI KWA BBT

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.