• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DED MAKUFWE ATOA NENO KWA WATUMISHI WAPYA WILAYANI MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: September 24th, 2024

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Makete, Ndg. William M. Makufwe, amewataka watumishi wapya ambao ni watendaji wa vijiji kuhakikisha kuwa wanatimiza wajibu wao wa kiutendaji kwa kutatua changamoto za wananchi na kuhakikisha kuwa wanakusanya mapato ili serikali iweze kuendesha shughuli za kimaendeleo.

Ndg. Makufwe, amesema hayo leo Septemba 24,2024, wakati akizungumza na watumishi hao wapya, katika ukumbi wa Mikutano uliopo Bomani, makao makuu ya Halmashauri ya wilaya ya Makete, na kuwataka kujiepusha na migogoro isiyoyalazima mahala pa kazi.

“katimizeni wajibu wenu, kuweni waadilifu kama kanuni za utumishi wa umma zinavyotaka, fanya kazi kwa bidii, hakuna mafanikio yanakuja bila kujituma, Serikali imewaamini ndio maana imewapa kazi, hivyo basi hakikisha haupotezi kazi” Alisema Makufwe.

Aidha, Makufwe, amewataka watendaji hao wa vijiji kuhakikisha kuwa wanatunza siri za serikali ikiwa ni pamoja na kushirikiana na watumishi wengine ambao atakutana nao kwenye majukumu yao ya kila siku ili kuhakikisha serikali inatimiza majukumu yake kwa wananchi.

Sambamba na hayo, amewataka kuhakikisha kuwa wanajisajili kwenye mfumo wa Upimaji wa Utendaji kazi kwa watumishi wa umma, PEPMIS kwakuwa kwakutofanya hivyo, watajiondoa kwenye utumishi wa umma.

Naye, Mkuu wa Idara ya Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. Humphrey Mushi, amewataka watumishi hao kutokuwa wanaharakati kwasababu kuna namna bora ya kudai stahiki zao za kiutumishi, hivyo wasiende kuwa kikwazo kwa watumishi wengine.

Kwa Upande wake, Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi na Ugavi, wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. Mathias Mbafu, amewataka watumishi hao kuhakikisha kuwa wanajisajili kwenye mfumo wa NeST ili waweze kufanya manunuzi ya umma, kwasababu ni kosa kisheria kufanya manunuzi nje ya mfumo.

Ikumbukwe kuwa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivi karibuni alitoa kibali cha kuajili watumishi wapya kwa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, ambapo watendaji wa vijiji 12 wameajiliwa katika awamu hii.

Imeandaliwa na,

Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali,

Halmashari ya Wilaya ya Makete.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 18, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWENYE MIRADI KIKAMILIFU

    June 04, 2025
  • MAKETE IPO TAYARI KWA BBT

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.