• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DED MAKUFWE AWATAKA VIONGOZI WAPYA WA VIJIJI NA VITONGOJI KUTENDA HAKI

Tarehe Iliyowekwa: November 28th, 2024

Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Makete, Ndg. William M. Makufwe, amewataka viongozi wapya ngazi ya Vijiji na Vitongoji kuhakikisha kuwa wanatenda haki katika utekelezaji wa majukumu yao, mara baada ya kuaminiwa na wananchi kupitia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ambao umefanyika Novemba,27,2024. 

Ndg. Makufwe, amesema hayo, leo Novemba 28, 2024, wakati wa zoezi la kuapishwa kwa Viongozi hao wa Vijiji na Vitongozi, kwenye ukumbi wa FEMA uliopo kata ya Tandala, Wilayani Makete, ambapo amebainisha kuwa uongozi ni dhamani hivyo kila kiongozi awajibike kwa nafasi yake.

“usikae na jambo ambalo umaona lipo juu ya uwezo wako, au unaona kabisa huwezi kulitatua, kwasabu ninyi mpo chini ya watu ambao ni Mkuu wa Wilaya, Mtendaji wa Kata, Mtendaji wa Kijiji, Mkurugenzi mtendaji wa Wilaya na wengineo hivyo mkiona mnashindwa kutatua changamoto zenu shirikisheni uongozi wa juu” alisema Makufwe.

Aidha, Ndg. Makufwe, amewataka wenyeviti hao wa Vijiji na Vitongozi, kuhakikisha kuwa hawafanyi vibaya kwenye uongozi wao, kwakuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wanaipaka matope Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Ikumbukwe kuwa, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzanaia kupitia, Wizara ya Ofisi ya Nchi – TAMISEMI imesimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ambao umefanyika Novemba 27,2024, ambapo kwa Wilaya ya Makete, nafazi za Uenyekiti wa Vijiji 93, pamoja na Vitongoji 442 ziligombewa sambamba na Uundwaji wa Halmashauri za Vijiji kupitia kura za kundi mchanganyiko pamoja na Viti Maalumu  wanawake.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SHAMBA LA MIFUGO LA KITULO, LASIFIWA KWA UZALISHAJI MZURI WA MITAMBA KWAAJI YA MAZIWA HAPA NCHINI

    July 04, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YATOA MKOPO WA SHILINGI MILIONI 401,402,000.00 KWA VIKUNDI 25.

    July 04, 2025
  • MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 18, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.