• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

Tarehe Iliyowekwa: June 5th, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. Jerry Daimon Mwaga, ameagiza kuwa miradi yote viporo ambayo imepewa fedha za utekelezaji kwa mwaka huu wa Fedha iwe imekamilika ifikapo Juni 15,2025, kutokana na umuhimu wa miradi hiyo katika jamii.

Ndg. Mwaga, amesema hayo leo Juni 5,2025, wakati akizungumza na kamati mbalimbali za usimamizi wa miradi kwenye maeneo tofauti ambayo ni kata ya Kigala, Ikuwo, Mlondwe na Kinyika, mara baada ya kutembelea na kagua utekelezaji wa miradi hiyo ambayo fedha zake zilishafika kwa ajili ya utekelezaji.

“Niwaombe ifikapo Juni 15,2025, natazamia kuona mabadiliko katika miradi hii, haiwezekani fedha zimefika muda mrefu lakini bado mnasuasua, hii miradi ina umuhimu kwa jamii ndio maana Mama yetu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassam ameleta fedha hizi ili wananchi wasipate shida ya kupata elimu au huduma za afya karibu na maeneo yao wanayoishi” alisema Ndg. Jerry Mwaga.

Aidha, Ndg.Mwaga, amewataka watendaji wa Kata na Vijiji kushinda kwenye utekelezaji wa miradi kwakuwa kukamilika kwake ndio mafanikio ya watu wote, kutokana na uhitaji wake katika jamii, kwakuwa lengo la serikali ni kutatua changamoto za wananchi.

Sambamba na hayo, Ndg. Mwaga ameagiza kutoa taarifa ya changamoto ambazo wanapitia kwenye utekelezaji wake ili ziweze kutatuliwa kwa haraka, na wananchi waweze kunufaika na serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Ikumbukwe kuwa, Mkurugenzi Mtandaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. Jerry Daimon Mwaga, leo Juni 5,2025, amehitimisha ziara ya Ukaguzi wa Miradi, kwa kutembelea na kukagua utekelezaji wake katika Kata ya Mfumbi, Kigala, Ikuwo, Mlondwe pamoja na Kinyika.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA - UTOLEWAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI 2025-2026 November 16, 2025
  • MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA AAGIZA KUKAMILISHA MIRADI KWA HARAKA

    November 26, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI MAKETE DC , JERRY MWAGA, AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII

    November 13, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. KISSA KASONGWA AWATAKA WAFANYABISHARA WILAYANI HUMO KUWEKEZA NYUMBANI

    November 12, 2025
  • DED MWAGA AONGOZANA NA MENEJA TARURA KUKAGUA BARABARA YA MANG'OTO IBAGA

    November 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.