• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE KUNUFAIKA NA MRADI WA KUBORESHA USALAMA WA MILIKI ZA ARDHI.

Tarehe Iliyowekwa: December 7th, 2023

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imepanga kuboresha Usalama wa Milki, katika halmashauri ya Wilaya ya Mkaete, kupita mradi wa LTIP, unaofadhiliwa na Benki ya Dunia.

Akizungumza katika kikao cha Wakuu wa Idara na Vitengo, Afisa Mipango Miji Mwandamizi, kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ndg. Enock E. Kyando, amesema kuwa, lengo la mradi huo ni Kupanga, Kupima, na kuandaa haki miliki za kimila katika maeneo ya vijiji, yenye matumizi ya mashama na makazi.

Aidha, Ndg. Kyando, amesema kuwa, kazi hiyo itafanyika kwa siku 90, kuanzia tarehe 11/12/2023 hadi 11/3/2024, katika vijiji 29, ambavyo vimependekezwa na wataalam, kutokana na vijiji hivyo kutokuwa na mipango ya matumizi ya ardhi.

Kwa upande wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. William M. Makufwe, amesema kuwa mradi huo ni mkombozi mkubwa kwa wananchi ambao wamekuwa na ardhi isiyokuwa na thamani, kutokana na kutokuwa na hati miliki za Kimila, ambazo zingeweza kumwezesha kupata mikopo pamoja na kuondosha migogoro ya ardhi baina yao.

Nao baadhi ya wakuu wa Idara na Vitengo, akiwemo Mkuu wa Kitengo cha Fedha na Uhasibu Ndg. Seben Mwalutamwa, ameishukuru serikali kwa kuwapelekea mradi huo ambao utaenda kuwa mwarobaini katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, ambayo imekuwa ikiisumbua wilaya ya Makete kwa mda mrefu.

Ikumbukwe kuwa, vijiji vitakavyofaidika na mradi huo mkubwa, ni pamoja na Makwaranga, Misiwa, Luvulunge, Ivalalila, Iwawa, Ludiani, Ndulamo, Maleutsi, Ruaha, Mfumbi, Kimani, Ikovo, Usalimwani, Tandala, Ikonda,Makangalawe, Ilindiwe, Ibaga, Usungilo pamoja na Igolwa.

Imeandaliwa na:

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, 

Halmashauri ya Wilaya ya Makete.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 18, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWENYE MIRADI KIKAMILIFU

    June 04, 2025
  • MAKETE IPO TAYARI KWA BBT

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.