• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

JAMII IJIKITE KUSULUHISHA MIGOGORO-Mhe. Ivan Msaki

Tarehe Iliyowekwa: January 26th, 2023

Na Gift Kyando- KITULO FM

Hakimu mkazi mfawidhi Mahakama ya Wilaya ya Makete Mh. Ivan Msaki amesema jamii ikijikita katika utatuzi wa migogoro kwa njia ya usuluhishi kutaifanya jamii yenyewe  kuishi bila uhasama.

Mh. Msaki ameyasema hayo januari 25,2023  wakati akizungumza na wanafunzi wa chuo cha Sayansi ya Afya Bulongwa wakati wa zoezi la kutoa  elimu kuhusu maswala mbalimbali ya kisheria, katika wiki hii ya kisheria nchini ambayo maadhimisho yake ni  tarehe 1 Februari 2023.

Msaki amesema kama ilivyo kauli mbiu ya wiki ya kisheria nchini isemayo Umuhimu wa utatuzi wa migogoro kwa njia ya usuruhishi katika kukuza uchumi endelevu  wajibu wa mahakama na wadau,

Hivyo jamii  kama mlengwa mkuu inapaswa kujikita katika utambuzi wa suala hilo na kulitekeleza

Wanafunzi wa chuo cha Sayansi ya Afya Bulongwa waliopata wasaa wa kuhudhulia darasa la elimu hiyo ya maswala mabalimbali ya kisheria mbali na kupongeza elimu hiyo waitaka mahakama kulifanya ambo la elimu kuhusu maswala ya kisheria kuwa endelevu ili jamii iwe na uelewa mpana kuhusu sheria mbalimbali.

Maadhimisho ya siku ya sheria nchini yalianza tarehe 22/1/2023 na yatahitimishwa tarehe 1/2/2023 katika viwanja vya mahakama ya wilaya ya makete kuanzia saa 2:00  asubuhi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI ZA ULINZI MAKETE March 24, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA KAZI YA UDEREVA March 23, 2023
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SERIKALI IPO TAYARI KUPOKEA USHAURI WA MAAFISA HABARI-WAZIRI MKUU

    March 27, 2023
  • KIKAO KAZI CHA 18 CHA MAAFISA HABARI, UHUSIANO NA MAWASILIANO WA SERIKALI 2023

    March 27, 2023
  • UZINDUZI WA CHANGOCHAATA MAKETE

    March 25, 2023
  • 222 WABAINIKA NA KIFUA KIKUU MAKETE

    March 24, 2023
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • MAKETE DC Online TV
  • MAKETE DC Instagram page
  • PLANREP
  • MAKETE DC Facebook page
  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • BEMIS
  • HIMS
  • FFARS

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.