• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA LISHE YAKUTANA KUJADILI TAARIFA YA UTEKELEZAJI SHUGHULI ZA LISHE MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: May 19th, 2023

Kikao cha Kamati ya Lishe robo ya Tatu ngazi ya Wilaya kimefanyika leo Mei 19, 2023 kwa lengo la kujadili utekelezaji wa shughuli za Lishe Wilaya ya Makete kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2023.

Katika Kikao hicho wajumbe wa Kamati hiyo wamejadili taarifa za Divisheni ya Maendeleo ya Jamii, Elimu ya Awali, Msingi pamoja na Sekondari na Divisheni ya Afya Ustawi wa Jamii na Lishe, Divisheni ya Mifugo mifugo na Uvuvi.

Akiwa katika kikao hicho Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Ligobert Kalisa amesema hali ya Lishe katika Wilaya ya Makete ni nzuri na ameongeza kuwa msisitizo wa Afya ya Lishe kwa watoto ni muhimu kuzingatiwa na Wazazi pamoja na Jamii kwa ujumla.

Afisa Lishe Wilaya ya Makete Bi. Jackline Nanauka amesema mikakati mtambuka inayoendelea kutekelezwa katika mapambano dhidi ya utapiamlo katika Halmashauri  ni pamoja na kutoa Elimu ya Afya na Lishe kwa wajawazito, kuhusu ulaji unaofaa wakati wa ujauzito na wakati wa kunyonyesha na ulishaji wa watoto wachanga

Pia maadhimisho ya siku za Afya na Lishe ya Kijiji angalau mara moja kila robo kwa kila kijiji, kutoa Elimu kwa Jamii juu ya umuhimu wa Matumizi ya maji safi na salama na usafi wa Mazingira.

Kwa upande wake Afisa Elimu Baptista Kaguo amesema katika jitihada za kuongeza upatikanaji wa vyakula vya Lishe kwenye shule za Msingi na Sekondari wamepanga kuanza Kilimo cha mbogamboga katika shule zote ili kuhakikisha wanafunzi wanapata Lishe bora kuanzia shuleni mpaka nyumbani.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SHAMBA LA MIFUGO LA KITULO, LASIFIWA KWA UZALISHAJI MZURI WA MITAMBA KWAAJI YA MAZIWA HAPA NCHINI

    July 04, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YATOA MKOPO WA SHILINGI MILIONI 401,402,000.00 KWA VIKUNDI 25.

    July 04, 2025
  • MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 18, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.