• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA SIASA YA CCM WILAYA YA MAKETE YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA ILANI NDANI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: March 6th, 2025

Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi, CCM, Wilaya ya Makete, leo Machi 6,2025, wamehitimisha ziara ya siku Mbili ya Ukaguzi wa Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Makete. 

Akizungumza mara baada ya Kukamilisha ziara hiyo, Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Makete, Ndg. Clemence Mwawite Ngajilo, amesema kuwa, Chama hicho kimeridhika na Utekelezaji wa Ilani ndani ya Halmashauri hiyo, hivyo amewataka kuendelea kuchapa kazi ili Wananchi waweze kunufaika na Miradi hiyo. 

Aidha, Ndg. Ngajilo, amewataka Wananchi kuwaacha Viongozi walipo madarakani wafanye kazi na muda ukifika Kila mtu atapata nafasi yake ya kugombea, na kwamba hategemei kuona watu wakifanya Kampeni kwakuwa sio muda wa Uchaguzi. 

Kwa Upande wake, Katibu wa Chama cha Mapinduzi, Wilaya ya Makete, Ndg. Daniel Mhanza, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwaletea Wananchi wa Makete miradi mikubwa ya Maendeleo na yenye tija kwa Jamii.

Sambamba na hayo, Ndg. Mhanza, amewataka watumiaji wa Miradi hiyo, kuhakikisha kuwa wanaitunza vizuri ili iweze kutumika na vizazi vijavyo. 

Ikumbukwe kuwa, Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Makete, umefanya ziara ya Siku Mbili ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Makete, ambapo Kata za Lupila, Mang'oto, Tandala, Lupalilo, Iwawa, Kipagalo, Bulongwa, Luwumbu na Kitulo zimetembelewa. 


Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA - UTOLEWAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI 2025-2026 November 16, 2025
  • MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA AAGIZA KUKAMILISHA MIRADI KWA HARAKA

    November 26, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI MAKETE DC , JERRY MWAGA, AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII

    November 13, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. KISSA KASONGWA AWATAKA WAFANYABISHARA WILAYANI HUMO KUWEKEZA NYUMBANI

    November 12, 2025
  • DED MWAGA AONGOZANA NA MENEJA TARURA KUKAGUA BARABARA YA MANG'OTO IBAGA

    November 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.