• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE, WAASWA KUSIMAMIA MIRADI KIKAMILIFU ..

Tarehe Iliyowekwa: February 16th, 2024

Kikao cha Pili cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Makete, limeketi leo Februari 16, 2024, ikiwa ni kikao cha Kupokea na kujadili Taarifa za Robo ya Pili, kwa mwaka wa Fedha wa 2023-2024.

Akizungumza wakati wa Kufunga kikao hicho, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Mhe. Christopher Fungo, amewataka watendaji kuhakikisha kuwa wanakusanya mapato ili halmashauri hiyo iweze kujijenga kimaendeleo na kiuchumi.

Aidha, Mhe. Fungo, amewataka Madiwani kushirikiana na Watumishi wa Umma, katika ngazi zao za Kata ili kusiwepo na malalamiko yeyote ya kiutendaji.

Kwa Upande wake, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, CCM, Ndg. Clemence Mwawite Ngajilo, amewashukuru na kuwapongeza Madiwani wa Halmashauri hiyo, kwa kazi nzuri wanazofanya za kuisimamia Serikali katika utekelezaji wa Miradi ya kimkakati.

"fanyeni kazi kwa Ushirikiano na wataalam wa serikali, sambamba na kusimamia miradi iliyopo katika maeneo yenu, pamoja na kuisemea vizuri kwakuwa imekuwa na tija kubwa kwa wananchi" alisema Ndg. Ngajilo.

Hata hivyo, Kaimu katibu wa kikao hicho, Ndg. Humphrey Mushi, akijibu swali la Papo Kwa Papo, la Diwani wa Luwumbu, Mhe. Felix Kyando, lililohusu ukomo wa nauli, kutoka Makete hadi Njombe, amesema Serikali kupitia LATRA, wameshatoa maelekezo ya nauli inayotakiwa kutozwa na wamiliki wa basi hivyo basi mamlaka husika za Usalama barabarani zisimamie waraka huo ili kusiwepo na malalamiko.

Imandaliwa na;

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, 

Halmashauri ya Wilaya ya Makete.












ReplyForward


Add reaction










Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SHAMBA LA MIFUGO LA KITULO, LASIFIWA KWA UZALISHAJI MZURI WA MITAMBA KWAAJI YA MAZIWA HAPA NCHINI

    July 04, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YATOA MKOPO WA SHILINGI MILIONI 401,402,000.00 KWA VIKUNDI 25.

    July 04, 2025
  • MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 18, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.