• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MAPATO NDIO MHIMILI WA HALMASHAURI - MHE. FUNGO

Tarehe Iliyowekwa: May 10th, 2024

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Mhe. Christopher Yonam Fungo, amewataka madiwani wa Halmashauri hiyo, kuhakikisha kuwa wanasimamia vizuri ukusanyaji wa mapato pamoja na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika kata zao.

Mhe. Fungo amesema hayo kwenye kikao cha Pili cha Baraza la Madiwani, ambacho kimefanyika leo Mei, 10,2024, katika Ukumbi wa Bomani, kikiwa na lengo la kupokea na kujadili taarifa mbalimbali za Kamati za Kudumu za Halmashauri ya wilaya ya hiyo, katika Robo ya Tatu ya mwaka wa fedha wa 2023/2024.

Aidha, Mhe. Fungo, ameishukuru serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuipatia Halmashauri hiyo, gari la kubebea wagonjwa (ambulance) ambalo litaenda kuhudumu katika kata ya Lupila.

Kwa Upande wake, Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. Albert Msemo, amewaomba madiwani kuendelea kutoa elimu kwa wananchi juu ya uuzaji wa Ngano kwa mzabuni ambaye ni Kampuni ya Bakhresa Group.

Sambamba na hayo, Ndg. Msemo, amewaomba madiwani kushiriki kakamilifu katika mbio za Mwenge wa Uhuru, ambazo June 18,2024, zinategemewa kukimbizwa wilayani humo, na mkesha kufanyika katika Kata ya Mfumbi.

Naye, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Ndg. Clemence Mwawite Ngajilo, amelishukuru Baraza la Madiwani, pamoja na Menejimenti kwa ujumla kwa utekelezaji mzuri wa Ilani ya CCM wilayani humo.

Hata hivyo, Mkuu wa Idara ya Kilimo, Ndg. Aniceth Ndunguru, akitoa ufafanuzi katika kikao hicho cha baraza la Madiwani, amewataka wananchi kuwa na amani kwakuwa mnunuzi wa Ngano ambaye ni Kampuni ya Bakhresa Group anafanya malipo baada ya siku tatu mzigo kufika kiwandani jijini Dar es Salaam.

Imeandaliwa na:

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,

Halmashauri ya Wilaya ya Makete.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SHAMBA LA MIFUGO LA KITULO, LASIFIWA KWA UZALISHAJI MZURI WA MITAMBA KWAAJI YA MAZIWA HAPA NCHINI

    July 04, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YATOA MKOPO WA SHILINGI MILIONI 401,402,000.00 KWA VIKUNDI 25.

    July 04, 2025
  • MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 18, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.