• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MH. MPANGO AFUNGUA MAONESHO YA NANENANE MBEYA

Tarehe Iliyowekwa: August 1st, 2022

Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Pholip Mpango leo 01/08/2022 amefungua rasmi maonesho ya sikukuu ya wakulima nchini  (Nanenane)

Maonesho hayo yamefunguliwa rasmi leo na yataendelea mpaka tarehe 08/08/2022 kwenye Uwanja wa John Mwakangale Jijini Mbeya.

Viongozi mbalimbali akiwemo Waziri wa Kilimo Mh. Hussein Bashe, Viongozi Mkoa wa Njombe na Wilaya ya Makete wamehudhuria ufunguzi huo ambapo Mkuu wa Wilaya ya Makete Mh. Juma Sweda, Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mh. Hawa Kader, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete ndg. William Makufwe wameshiriki kwenye zoezi hilo.

Wananchi kutoka maeneo mbalimbali wameshiriki ufunguzi huo huku wageni wakitembelea mabanda ya Kilimo, uvuvi na mifugo ikiwemo banda la Makete ambalo linaonyesha fursa mbalimbali za kilimo, uvuvi na mifugo zinazopatikana katika Wilaya ya Makete.

Fursa hizo ni Pamoja na Kilimo cha ngano, Parachichi, Tufaha (Apple), Viazi mviringo, Mahindi, Mbogamboga, nyanya, papai, njegere, Maharage, ufugaji wa nyuki, Ng’ombe wa maziwa na nyama, Utalii n.k

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUFANYA KAZI ZA MUDA WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 27, 2022
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA 2022 May 06, 2022
  • NAFASI ZA KAZI May 26, 2022
  • KUITWA KWENYE USAILI WASIMAMIZI,MAKARANI NA WASIMAMIZI WA TEHAMA July 18, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • RAIS SAMIA AZINDUA SOKO KUU NJOMBE MJINI

    August 10, 2022
  • Milioni 200 kuweka Taa za Barabarani Makete Mjini

    August 09, 2022
  • WANANCHI WAANZA UJENZI WA BARABARA

    August 06, 2022
  • MAKETE YAFANYA VIZURI UMISETA MKOANI NJOMBE

    August 05, 2022
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • MAKETE DC Online TV
  • MAKETE DC Instagram page
  • PLANREP
  • MAKETE DC Facebook page
  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • BEMIS
  • HIMS
  • FFARS

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.