• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MIRADI YA ZAIDI YA MILIONI 689 YAKAGULIWA NA KAMATI YA FEDHA, MIPANGO NA UTAWALA WILAYANI MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: July 3rd, 2021

Kamati ya kudumu ya Fedha, Mipango na Utawala ya Halmashauri ya Wilaya ya Makete leo Januari 21, 2021 imetembelea jumla ya Miradi nane ambayo inagharimu Tshs 689,117,975/=

Akizungumza kwenye ziara hiyo Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Ndg Asukile Mbogella amewapongeza wananchi kwa kuibua miradi na kuchangia nguvu kazi katika ujenzi wa miradi hiyo na kuwahakikishia waheshimiwa madiwani na wananchi kuwa Serikali itaendelea kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa zahanati, madarasa, matundu ya vyoo, daharia za shule, mabwalo nk kwa maendeleo ya Wilaya ya Makete.

Aidha, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Mhe. Francis Chaula ameipongeza Serikali kwa utekelezaji wa miradi mbalimbali ndani ya Wilaya ya Makete na kuwahamasisha wananchi kuendelea kujitoa kwenye kuchangia shughuli mbalimbali za maendeleo huku akizihimiza Kamati za Ujenzi kwenye Vijiji na Kata kutekeleza shughuli zao kwa uaminifu na uadilifu.

Miradi iliyokaguliwa na Kamati ya Fedha, Mipango na Utawala ni Ujenzi wa bwalo Shule ya Sekondari Mwakavuta lenye thamani ya Tshs 145,000,000/=, Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa na vyoo matundu nane Shule ya Msingi Bulongwa wenye thamani ya Tshs 48,800,000/=, Ujenzi wa daharia na vyoo matundu sita Shule ya Sekondari Iwawa wenye thamani ya Tshs 156,600,000#=, Ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa na vyoo matundu nane Shule ya Msingi Makete wenye thamani ya Tshs 67,709,286#=, Ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa na vyoo matundu tisa Shule ya Msingi Kiduga wenye thamani ya Tshs 67,008,689/=, Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa (maabara za masomo ya sayansi) Shule ya Sekondari Ilumaki wenye thamani ya Tshs 64,800,000/=, Ujenzi wa bwalo Shule ya Sekondari Lupalilo lenye thamani ya Tshs 140,000,000/= na Ujenzi wa zahanati ya Usungilo yenye thamani ya Tshs 29,000,000/=

Shughuli za ujenzi kwenye miradi hii zinaendelea huku Mradi wa Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa na vyoo matundu nane Shule ya Msingi Bulongwa ukiwa umekamilika.


#MaketeWilayaYaKazi 

#MaketeMojaTuijengePamoja

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SHAMBA LA MIFUGO LA KITULO, LASIFIWA KWA UZALISHAJI MZURI WA MITAMBA KWAAJI YA MAZIWA HAPA NCHINI

    July 04, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YATOA MKOPO WA SHILINGI MILIONI 401,402,000.00 KWA VIKUNDI 25.

    July 04, 2025
  • MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 18, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.