• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKURUGENZI MTENDAJI TASAF AKAGUA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE, NA KUPONGEZA USIMAMIZI WA MIRADI HIYO

Tarehe Iliyowekwa: October 2nd, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini nchini Tanzania, TASAF, Ndg. Sherdac Mziray, leo October 2, 2024 ametembelea na kukagua mradi wa wa Ujenzi wa kituo cha Afya cha Kata ya Kipagalo, kilichopo Wilaya ya Makete, pamoja na Ujenzi wa Bwalo la Chakula katika shule ya Sekondari Lupalilo iliyopo kata ya Tandala, wilayani humo,

Akiwa katika Ukaguzi huo, Ndg. Mziray, amepongeza juhudi za Halmashauri ya Wilaya ya Makete, chini ya Mkurugenzi wake, Ndg. William M. Makufwe kwa namna bora ambayo imekuwa ikisiamamia utekelezaji wa miradi hiyo TASAF, nakuahidi kushirikiana na ofisi hiyo endapo watapata changamoto yeyote.

Aidha, Mziray amesema kuwa, licha ya kuwepo kwa changamoto za kimiundombinu pamoja na upatikanaji wa wazabuni, lakini bado halmashauri imefanikiwa kwa kiasi kikubwa, kukamilisha kwa baadhi ya miradi licha kuwepo kwa mingine inayoendelea kutekelezwa, kama vile Ujenzi wa kituo cha Afya Kipagalo.

Kwa Upande wake, Mkurugenzi wa Fedha, TASAF, Ndg. Godwin Mkisi, ameagiza kamati za usimamizi wa miradi ngazi ya Jamii, CMS kuhakikisha, wanaendelea kuwa na ushirikiano huo huo waliouonesha katika utekelezaji wa miradi ya TASAF ili iweze kukamilika mapema kabla ya mvua kuanza.

Naye, Meneja Miradi na  Ajira za Muda na Miundombinu, TASAF, Ndg. Paul Kijazi, amesema kuwa mwezi wa kumi mwishoni, watafanya ziara ya ukaguzi wa mradi wa kituo cha Afya cha Kipagalo kujiridhisha kama umekamilika kwa majengo ya Matatu ya nyumba za watumishi 2 kwa 1, Jengo la mama na Mtoto pamoja na Jengo la matibabu ya nje OPD ili fedha za awamu ya pili ziweze kutolewa.

Sambamba na hayo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ngd. William M. Makufwe, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Sukuhu Hassan, kwa kuendelea kuipa fedha za miradi Halmashauri hiyo, na kwamba wao wataendelea kuisimamia kikamilifu ili iweze kuwa mkombozi kwa wakazi wa wilaya ya Makete.

Akishukuru kwa niaba ya Wananchi, Diwani wa Kata ya Kipagalo, Mhe. Nehemia Sanga, amemshukuru Rais wa Tanzania kwa kuendelea kuipa fedha za kutosha Kata hiyo, ambayo kwa sasa imekuwa na miradi mbalimbali ya elimu pamoja na Afya, na kwamba wao wataendelea kuunga mkono juhudi za ujenzi wa taifa la Tanzania.

Ikumbukwe kuwa Kituo cha Afya Kipagalo, kinajengwa kwa Fedha kutoka TASAF, ambapo zaidi ya shilingi milioni 800,000,000.00 imetengwa  kwa ajili ya uejnzi wa kituo hicho. 

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 18, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWENYE MIRADI KIKAMILIFU

    June 04, 2025
  • MAKETE IPO TAYARI KWA BBT

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.