• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA MKOA

Tarehe Iliyowekwa: May 13th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Njombe amewataka watumishi wa Umma Halmashauri ya Wilaya ya Makete kufanya kazi kwa weledi, haki pasipo kuwa na hofu wakati wa utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku.

Akizungumza na watumishi waliopo Makao makuu ya Wilaya ya Makete kwenye ukumbi wa Halmashauri, Mh. Waziri Kindamba Waziri amesema utumishi wa Umma uliotukuka ni ule unaozingatia Sheria, Taratibu na Kanuni wakati wote wa utekelezaji wa majukumu ya Serikali.

“Asije mtu akakutishia kukufukuza kazi pale unapofuata sheria, taratibu na kanuni, niwasihi watumishi msiogope hayo fanyeni kazi kwa misingi inayokubalika na Serikali

Lakini pia Makete ni Wilaya ya kazi hivyo tuendelee kuwahimiza wananchi kufanya kazi kwa bidii pamoja na ninyi watumishi muwe wabunifu ili kujiongezea kipato kwa kujishughulisha na shughuli mbalimbali zikiwemo shughuli za Kilimo mfano, Ngano, parachichi, Vanilla, Mahindi na mazao mengine ili muweze kupata fedha na kukuza uchumi binafsi na Halmashauri kwa ujumla” aliongeza Mh. Kindamba.

Wakati huohuo aliwahimiza watumishi hao kusimamia zoezi la uwekaji wa nguzo pamoja na vibao kwenye nyumba na taasisi za umma na binafsi ili liweze kukamilika ifikapo tarehe 15/05/2022.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Makete Mh. Juma Sweda amemshukuru Mkuu wa Mkoa kufika Makete na kuzungumza na watumishi ambao ni wasaidizi muhimu katika majukumu ya Serikali ngazi ya Wilaya mpaka ngazi za vijiji.

Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Makete Ndg. William Makufwe amesema hadi kufikia mwezi Aprili, 2022 Wilaya ya Makete imekusanya mapato zaidi ya 130% vilevile Halmashauri imejiwekea mikakati mingine ya kuongeza vyanzo vya mapato ikiwemo ujenzi wa yadi ya Mbao Kata ya Mang’oto pamoja na stendi ya Mabasi Kimani iliyopo Kata ya Mfumbi.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 18, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWENYE MIRADI KIKAMILIFU

    June 04, 2025
  • MAKETE IPO TAYARI KWA BBT

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.