• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. SWEDA, AWATAKA WATENDAJI KUSIMAMIA MIKAKATI YA UPAMBANAJI NA UDUMAVU

Tarehe Iliyowekwa: March 4th, 2024

Mkuu wa wilaya ya Makete, Mhe. Juma Samwel Sweda, amewataka watendaji wa kata za Halmashauri ya wilaya hiyo kuhakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na bustani ya mbogamboga, kuku wa nyama na mayai, sambamba na upandaji wa miti ya matunda ili kupambana na udumavu.

Mhe. Sweda amesema hayo leo Machi 4,2024, wakati wa kikao cha Tathmini ya Lishe ngazi ya Jamii, ambacho kimefanyika katika ukumbi wa Bomani, uliopo Halmashauri ya Wilaya ya Makete.

“nyinyi ndio wakurugenzi wa kata zenu, haiwezekani ukawa na watoto wenye utapiamlo wakati mna kila rasirimali kwenye maeneo yenu, hakikisheni mtashirikiana na wadau kuhakikisha taasisi za elimu zinakuwa na ng’ombe wa maziwa, kuku sambambana na bustani za mboga mboga” alisema Mhe, Sweda.

Aidha, Mhe. Sweda amesema kuwa, mtoto anatakiwa kutunzwa tangu akiwa tumboni kwa mama yake, hivyo basi kila mzazi na mlezi awe na jukumu la kuhakikisha anapata chakula bora ili mtoto aweze kukua vizuri tangu tumboni kwa mama yake.

Naye, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Mhe. Christopher Y. Fungo, amewataka watendaji hao wa kata kusimamia vizuri ukusanyaji wa mapato, kutokana na umuhimu wake katika kupambana na udumavu wilayani Makete.

Kwa upande wake, Mganga Mkuu wa Wilaya ya Makete, Ndg. Ligobert Kalisa, amesema tathimini hiyo imelenga kujua changamoto na utatuzi wake, sambamba na kuweka mikakati ya upambanaji wa utapiamlo na udumavu wilayani humo kutokana na umuhimu wa ukuaji wa mtoto kiafya.

Akiwasilisha taarifa kwa Mkuu wa Wilaya, Kaimu Afisa Lishe wa Wilaya ya Makete, Bi. Agnes Kolumbani, amesema kuwa hadi sasa wilaya hiyo imebaini watoto 2484 wenye udumavu sawa na asilimia 32%, watoto 204 wenye ukondefu, na watoto 418 wenye uzito pungufu.

Imeandaliwa na:

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,

Halmashauri ya Wilaya ya Makete. 

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 18, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWENYE MIRADI KIKAMILIFU

    June 04, 2025
  • MAKETE IPO TAYARI KWA BBT

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.