• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

PANDENI BUSTANI ZA MBOGA MBOGA KUPAMBANA NA UDUMAVU - DC SWEDA

Tarehe Iliyowekwa: December 7th, 2023

Mkuu wa wilaya ya Makete, Mhe. Juma Sweda, amewaasa wazazi wa wanafunzi wanaosoma Shule ya Sekondari ya Ukwama kuzingatia Lishe bora kwa watoto wao kwa kupanda bustani ya mboga mboga kwenye vitaru vya Shule hiyo.

Mhe. Sweda , amesema hayo leo wakati akizungumza na wananchi wa Ukwama, baada ya kukagua mradi wa bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari Ukwama, iliyopo katika kijiji cha Ukwama, Kata ya Ukwama kitongoji cha Lopate, kuwa Udumavu haukubaliki, hivyo kila mwananchi ahakikishe mtoto anapata mlo kamili wenye kuzingatia makundi yote ya chakula.

Ikumbukwe kuwa mradi huo wa Ujenzi wa Bweni la Wasichana utagharimu shilingi milioni 150, pesa kutoka TASAF, ikiwa ni pamoja na nguvu kazi za wananchi.

Aidha Mhe. Sweda ameungana na wananchi wa kijiji hicho katika maendeleo ya kutengeneza barabara, inayotoka kijiji cha Masisiwe, Ukwama hadi Kihanga kwa kutumia nguvu za wananchi. 

Hata hivyo, Mhe. Juma Sweda, kabla ya kufanya ukaguzi huo, ametembelea mradi wa Ujenzi wa madarasa ya kidato cha tano na sita, katika shule ya sekondari ya Lupalilo iliyoko katika kata ya Tandala Kijiji cha Ikonda, mradi huo utagharimu kiasi cha shilingi milioni 415, ikiwa ni vyumba vya madarasa 15 na matundu ya vyoo 20, Fedha zote ni kutoka serikali kuu, pamoja na ujenzi wa bwalo liltakalogharimu kiasi cha shilingi milioni 175, Fedha kutoka TASSAF.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 18, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWENYE MIRADI KIKAMILIFU

    June 04, 2025
  • MAKETE IPO TAYARI KWA BBT

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.