• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

RUWASA MAKETE KUHAKIKISHA UPATIKANAJI WA MAJI KWA WANANCHI WOTE

Tarehe Iliyowekwa: November 6th, 2022

Meneja wa Wakala wa maji safi na usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Wilaya ya Makete Mhandisi Innocent Lyamuya amesema wamejipanga kuhakikisha wananchi Wilayani Makete wanapata maji kwa zaidi ya 90%.

Amesema hayo mwishoni mwa wiki hii Novemba, 2022 wakati akiwasilisha taarifa ya hali ya upatikanaji wa maji vijijini na namna walivyojipanga kukabiliana na uhaba wa maji katika maeneo yenye changamoto hiyo ikiwemo Kata ya Tandala, Luwumbu, Mlondwe, Bulongwa , Mang’oto, Ukwama, Mbalache na maeneo mengine.

KUTAZAMA VIDEO BONYEZA HAPA

Mhandisi Lyamuya amesema Serikali kupitia Wakala wake RUWASA kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2022/2023 imejipanga kuhakikisha mpaka kufikia mwaka 2025 wananchi wake wawe wanapata maji kwa 85% vijijini na mijini 95% hivyo kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kukabiliana na uhaba wa maji kwa wananchi.

Ameongeza kuwa mpaka kufikia sasa Wananchi wa Wilaya ya Makete zaidi ya 90% wanapata huduma ya maji safi na Salama na matarajio ni kufikisha huduma ya maji kwa wananchi zaidi ya 95%.

Pia amempongeza Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Wizara ya Maji ikiongozwa na Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mhandisi Anthony Sanga na Mheshimiwa Mbunge Festo Sanga kwa kazi kubwa wanayoifanya katika kuhakikisha wananchi wa Makete wanapata huduma ya Maji bila usumbufu wa kufuata huduma hiyo umbali mrefu.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SHAMBA LA MIFUGO LA KITULO, LASIFIWA KWA UZALISHAJI MZURI WA MITAMBA KWAAJI YA MAZIWA HAPA NCHINI

    July 04, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YATOA MKOPO WA SHILINGI MILIONI 401,402,000.00 KWA VIKUNDI 25.

    July 04, 2025
  • MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 18, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.