• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

SERIKALI IPO TAYARI KUPOKEA USHAURI WA MAAFISA HABARI-WAZIRI MKUU

Tarehe Iliyowekwa: March 27th, 2023

Serikali imesema ipo tayari kupokea ushauri kutoka kwa maafisa Habari kwa lengo la kuboresha utoaji na upatikanaji wa Habari kwanuharaka zaidi.

Tamko hilo limetolewa  na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa katika ufunguzi wa  kikao kazi cha 18 cha Maafisa habari,Mawasiliano na Uhusiano wa Serikali, kilichofanyika leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es salaam.

Mhe. Majaliwa amesema kuwa ipo haja ya mamlaka mbalimbali kuwapa nafasi Maafisa Habari wa Serikali na Taasisi zote kuwa wasemaji wa taasisi kama ilivyo kwa klabu za mpira ili kuhabarisha umma kwa kutoa habari sahihi kwa  wakati kuepusha  upotoshaji.

"Nataka kuonyesha  mfano ambao  wenzetu wanafanikiwa mfano Msemaji wa Yanga kila siku tunamwona  na Simba  kila siku tunamwona ,Masao Bwire  wa Ruvu shooting tunamuona kila siku hata wa Mtibwa kila siku tunamwona je, sisi? nimetoa mfano huu ili ndani ya siku tano za kikao hiki mfanye tathmini na Serikali ipo tayari kupokea ushauri wenu na kutekeleza matakwa yenu kama Maafisa habari",alisema Mhe. Majaliwa.

Aidha ametoa maagizo kwa Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri na Taasisi zilizo chini ya Serikali kutambua umuhimu wa kuwa na Afisa habari katika taasisi na kukamilisha ikama ya Maafisa habari kama inavyohitajika pamoja na kutenga bajeti ya kutosha kwa ajili ya Vitengo vya Mawasiliano.

Pia,amewataka Viongozi wote kuwajengea uwezo Maafisa habari ili waweze kutumia teknolojia ya kisasa  na kutengeneza utaratibu wa kuwashirikisha  Maafisa habari katika utekelezaji wa shughuli zote za taasisi pamoja  na  miradi ya maendeleo kwa kuwawezesha vyombo vya usafiri wakati wa ziara za viongozi pamoja na kuwawezesha kushiriki vikao kazi.

Aidha, ameitaka Wizara ya Habari na Mawasiliano na Teknolojia ya Habari pamoja na idara ya Habari Maelezo kuwasimamia na kuwakutanisha Maafisa habari kwenye vikao kupitia mitandao na ana kwa ana.

Kikao kazi cha 18 cha Maafisa Habari,Mawasiliano na Uhusiano wa Serikali kinafanyika kwa siku tano ambapo Maafisa hao watapata nafasi ya Kutembelea miradi ya Kimkakati inayotekelezwa na Serikali katika jiji la Dar es salaam machi 31,2023 siku ya Ijumaa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI ZA ULINZI MAKETE March 24, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA ZA UALIMU NA AFYA April 12, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA MAKETE DC April 17, 2023
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WAUMINI KKKT-DAYOSISI YA KUSINI MAGHARIBI WAMUOMBEA DC SWEDA APONE MAPEMA

    May 28, 2023
  • RAIS SAMIA KUIPATIA MAKETE BILIONI 2.1

    May 24, 2023
  • ASKOFU DKT. MALASUSA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UMEME IJANGALA-MAKETE

    May 24, 2023
  • KAMATI YA LISHE YAKUTANA KUJADILI TAARIFA YA UTEKELEZAJI SHUGHULI ZA LISHE MAKETE

    May 19, 2023
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • MAKETE DC Online TV
  • MAKETE DC Instagram page
  • PLANREP
  • MAKETE DC Facebook page
  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • BEMIS
  • HIMS
  • FFARS

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.