• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

SHIRIKA LA MIICO LAZINDUA MRADI WA KUSAIDIA WAKULIMA NA WAFUGAJI WILAYANI MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: July 3rd, 2021

Na Omega Thobias, Makete DC

Shirika lisilo la kiserikali la MIICO limezindua mradi mpya wenye malengo ya kuwasaidia wakulima na wafugaji kuweza kunufaika zaidi kupitia kurasikisha ardhi zao na kuzikatia hati miliki ili kuongeza thamani ya ardhi hizo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la MIICO Bi. Catherine Mulaga ameiomba Halmashauri ya Wilaya ya Makete kushirikiana nao kikamilifu ili mradi wao watakaoutekeleza kwa muda wa miaka 3 uwe na tija kwa wananchi huku akisema kwasasa watautekeleza mradi kwenye Kata za Ipepo na Lupalilo kwani awali walitekeleza mradi kama huo kwenye Kata za Mbalatse na Mfumbi.

Awali, Mratibu wa mradi huo Bi. Gloria Mdindile amesema ili kufanikisha malengo mahususi ya mradi wataunda majukwaa ya ardhi ya Vijiji na kila jukwaa litakuwa na wajumbe 30 huku 15 kati yao ni lazima wawe wanawake. Pia, ametanabaisha kuwa watakuwa wakitoa hamasa kwa jamii kuhusu masuala yote yanayohusu ardhi, kuwajengea wananchi uelewa kuhusu usimamizi na utawala wa ardhi.

"Wilaya ya Makete tunawashukuru Shirika la MIICO kwani sio mara ya kwanza kufanya miradi inayohamasisha jamii kuhusu kilimo na umuhimu wa ardhi, Serikali tutawapa ushirikiano mkubwa na kupitia Idara ya ardhi na sheria tunaamini malengo ya mradi yatafikiwa ipasavyo. Nitoe wito kwa wananchi watakaofikiwa na mradi huu kuweza kuuchangamkia ili kuleta maendeleo yao na maendeleo ya serikali" alisema Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Bw. Francis Namaumbo. 

#MaketeMojaTuijengePamoja

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SHAMBA LA MIFUGO LA KITULO, LASIFIWA KWA UZALISHAJI MZURI WA MITAMBA KWAAJI YA MAZIWA HAPA NCHINI

    July 04, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YATOA MKOPO WA SHILINGI MILIONI 401,402,000.00 KWA VIKUNDI 25.

    July 04, 2025
  • MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 18, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.