• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

VIONGOZI WA TALGWU WAKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI (W) MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: July 2nd, 2021

Viongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) wa Wilaya ya Makete kwa uwakilishi wa matawi 8 ya TALGWU yaliyopo ndani ya Wilaya ya Makete wakiongozwa na Katibu wa TALGWU Mkoa wa Njombe Ndg. Raymond Chimbuya na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa TALGWU (Mwenyekiti mpya wa TALGWU Mkoa wa Njombe) Ndg. Festo Mbakilwa wamefanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Ndg Francis Namaumbo.

Viongozi hao wamemshukuru DED Namaumbo kwa niaba ya Uongozi wa Wilaya ya Makete kwa namna wanavyowapa ushirikiano mkubwa Viongozi wa TALGWU na kuwa sehemu ya utatuzi wa changamoto mbalimbali zinazowakabili watumishi katika maeneo yao ya kazi.

Aidha, DED Namaumbo amewasifu Viongozi wa Kitaifa na Mkoa wa TALGWU kwa kuwa bega kwa bega na Viongozi wa TALGWU ngazi ya Wilaya na Matawi ndani ya Wilaya ya Makete.

"Niwasihi wana TALGWU wenzangu nanyi mkiwa kama Viongozi kuendelea kuwa daraja kati ya watumishi na waajiri, tuendelee kuwaasa watumishi kufuata sheria, kanuni na taratibu zinazotuongoza watumishi wa Umma na asiwepo anayeenda kinyume na taratibu hizi za Utumishi wa Umma. Rais wa awamu ya sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anatutegemea sana kwani kwa uwajibikaji wetu kwenye maeneo yetu na kutatua kwetu kero na migogoro ndio jambo la msingi katika kuelekea kwenye maendeleo jumuishi ndani ya Taifa letu" amesisitiza DED Francis Namaumbo.

Wakati wa kikao hicho kilichohudhuriwa pia na Kaimu Afisa Utumishi na Utawala Wilaya ya Makete Ndg Asukile Mbogela amewasihi Viongozi wa Chama cha TALGWU kuendelea kushirikiana vema na Vyama vingine vya wafanyakazi kama TUGHE ili kuimarisha ushirikiano wa wanachama wao maeneo ya kazi.

#SolidarityForever

#MshikamanoDaima

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 18, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWENYE MIRADI KIKAMILIFU

    June 04, 2025
  • MAKETE IPO TAYARI KWA BBT

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.