• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VYOMBO VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA NA KANUZI ZA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA

Tarehe Iliyowekwa: April 29th, 2025

Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Makete, Bi. Jacklina Mrosso, amewataka Waandikishaji pamoja na Waendesha vifaa vya Bayometriki kufanya kazi kwa kuzingatia kanuni na sheria zinazowaongoza katika uboreshaji wa Daftari la Kupiga kura awamu ya Pili, ambalo linategemewa kuanza Mei 1 hadi 7, 2025.

Bi. Jacklina Mrosso, amebainisha hayo leo Aprili 29,2025, wakati akifungua mafunzo kwa Waandikishaji na Waendesha vifaa vya Bayometriki, ambayo yamefanyika leo katika vituo viwili vya Iwawa pamoja na Tandala, ikiwa ni kuelekea katika awamu ya pili ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga kura, pamoja na Uwekaji Wazi wa Daftari Kudumu la Mpiga kura awamu ya kwanza.

“Nendeni mkafanye kazi kwa ushirikiano mkubwa, sambamba na kuhakikisha kuwa kila mwananchi ambaye hakuandikisha anapata fursa ya kujiandikisha na wale ambao watakuwa wanataka kuboresha taarifa zao waweze kufanya hivyo, kwakuwa mmeaminiwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi” Alisema Bi. Mrosso.

Aidha, Afisa Mwandikishaji, amesema kuwa, Jimbo zima la Makete, lina vituo 37, ambapo kila kituo kina waandikishaji wawili ambao watahakikisha kuwa wananchi wanapata huduma kwa wakati, na kwamba vituo hivyo vitafunguliwa kwa wakati ili huduma iweze kutolewa kwa weledi.

Kwa Upande wake, Afisa TEHAMA, kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bi. Elizabeth Salale, akitoa mafunzo kwa Waandikishaji wasaidizi pamoja na Waendesha Vifaa vya Bayometriki, amewataka waandikishaji hao kutosita kuwasilisha changamoto kwa mamlaka husika endapo watapata shida katika utekelezaji wa zoezi hilo, pamoja na kujaza fomu zote kiufasaha kabla ya kuingiza kwenye mfumo.

Ikumbukwe kuwa, Zozezi hilo la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura, kwa Jimbo la Makete, linategemewa kuanza Tarehe 1 hadi 7 mwezi 5,2025, likienda sambamba na uwekaji wazi wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura kwa awamu ya Kwanza ambalo lilifanyika mwezi wa kwanza mwaka huu wa 2025.

 

  

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA NDG. ISAMAIL ALLI USSI ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI WILAYANI MAKETE

    May 06, 2025
  • WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VYOMBO VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA NA KANUZI ZA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA

    April 29, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE LAPITISHA RASIMU YA SHERIA NDOGO MPYA ZA ADA NA USHURU

    April 25, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE APONGEZA JUHUDI ZA UPAMBANAJI WA UDUMAVU WILAYA YA MAKETE

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.