• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WADAU WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA, WAOMBWA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI JUU YA UMUHIMU WA KUJIANDIKISHA

Tarehe Iliyowekwa: January 7th, 2025

Wadau wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga kura Wilayani Makete wameombwa kutoa ushirikiano kwa kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa Kujiandikisha na Kuboresha taarifa zao kwenye daftari la Kudumu la Mpiga kura ikiwa ni kuelekea kwenye uchaguzi mkuu hapo baadae.

Rai hiyo imetolewa na Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Makete, ambaye ni Afisa Tawala wa Wilaya ya hiyo, Ndg. Onesphoria Ngogo,wakati akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga kura, ambao umefanyika katika ukumbi wa Bomani, uliopo Halmashauri ya Wilaya ya Makete.

“Wadau mna nafasi kubwa sana ya kwenda kuhamasisha watu wakajiandikishe kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura, ili waweze kupiga kura mara baada ya kutangazwa kwa tarehe ya Uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwaka huu wa 2025” Alisema Ndg. Ngogo.

Kwa Upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. William M. Makufwe, amesema lengo la kuwakutanisha katika kikao hicho ni kujadili namna bora ya kuwahamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi katika kujiandikisha ikiwa ni pamoja na kupeana taarifa za zoezi zima la Uboreshaji wa Daftari hilo la kudumu la Mpiga kura.

Sambamaba na hayo, Ndg, Makufwe amesema kuwa, zoezi hilo ni tofauti kabisa na uchaguzi wa Serikali za Mitaa, hivyo wananchi wanapaswa  kujiandikisha ili waweze kupata kitambulisho ambacho kitatumika katika uchaguzi mkuu wa Rais, Mbunge na Diwani.  

Naye, Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Makete, Bi. Jacklina Mrosso, amesema kuwa, jimbo hilo lina vituo 166 vya uchaguzi, ambapo kila kituo INEC wameweka mwandikishaji msaidizi pamoja na mwendesha kifaa cha Biyometriki na kwamba zoezi hilo litafanyika kwa weledi na maarifa ya kutosha.

Naye Afisa uchaguzi wa Jimbo la Makete, Ndg. Castory Ngonyani, akijibu hoja za Wadau, amesema kuwa hakuna nyongeza ya siku, zaidi ya zile zilizopangwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, hivyo kila mdau kwa sehemu yake akawe sehemu ya zoezi hilo la Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga kura, sambamba na kusoma miongozo na kanuni zinazosimamia zoezi hilo la uandikishaji wa wapiga kura.

Ikumbukwe, kuwa INEC wapo kwenye zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura nchi nzima, ambapo kwa Jimbo la Makete, zoezi hilo litaanza Januari 12 hadi 18, mwaka huu wa 2025.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SHAMBA LA MIFUGO LA KITULO, LASIFIWA KWA UZALISHAJI MZURI WA MITAMBA KWAAJI YA MAZIWA HAPA NCHINI

    July 04, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YATOA MKOPO WA SHILINGI MILIONI 401,402,000.00 KWA VIKUNDI 25.

    July 04, 2025
  • MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 18, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.