• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WALIMU WILAYANI MAKETE WAHIMIZWA KUSIMAMIA VIZURI UTOLEWAJI WA ELIMU KWA WANAFUNZI

Tarehe Iliyowekwa: November 19th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Juma S. Sweda, amewataka walimu pamoja na wakuu wa taasisi za elimu wilayani humo kuhakikisha kuwa wanasimamia vizuri utolewaji wa elimu ili watoto waweze kufaulu kwa wastani mzuri.

Kauli hiyo imetolewa leo Novemba,19,2024 katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Makete, ambacho kimefanyika katika Ukumbi wa Bomani, uliopo makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Makete.

“Kila mtu mwenye eneo lake akatimize wajibu wake hakuna kusingiziana, mara mzazi mara mtoto, hakikisheni mnafanya kazi zenu kiufasaha kwa kujua changamoto wanazopitia wanafunzi ili ziweze kutatuliwa kwa wakati” Alisema Sweda.

Aidha, Mhe. Sweda, ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Makete kwa kuwa na ushirikiano mzuri katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo ambayo imekuwa ikitekelezwa katika Halmashauri hiyo, ambayo imekuwa na miradi mingi ya Maendeleo upande wa Afya, Elimu pamoja na miundombinu ya barabara.w

Sambamba na hayo, Mhe. Sweda, amewataka wakazi wa Wilaya ya Makete kuwa wamoja katika masuala yote ya kimaendeleo ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wanakuwa na kauli moja juu ya mchakato wa uanzishwaji wa Halmashauri mpya ya Wilaya ya Kitulo ambayo itakuwa na makao makuu katika Kata ya Matamba.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Makete, Ndg. William M. Makufwe, amewataka watumishi wa kada ya Ualimu kuhakikisha kuwa wanawajibika kikamilifu ili kuongeza ufaulu kwa wanafunzi wa darasa la saba, kutokana na kushukua kwa asilima 5 za ufaulu wa wanafunzi hao.

Ndg. Makufwe, amesema kuwa, kumekuwa na changamoto kubwa ya watumishi kuhama ambayo pia imekuwa chanzo cha kushuka kwa ufaulu kwa wanafunzi Wilayani humo, pamoja na kuanzishwa kwa sheria ndogo ambazo zitawabana wazazi na walezi wa watoto ambao hawaendi shule pamoja na kuwashawishi kufeli mitihani.

Katika hatua nyingine, Ndg. Makufwe amesema kuwa kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025, wakulima wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete wamefanikiwa kuuza tani zaidi ya elfu nne za zao la Ngano, na kupata pesa zaidi ya Bilioni 3.9, kutokana na mavuno ya zao hilo.

Nae mmoja wa waalikwa wa kikao hicho Cha DCC, ambaye ni Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Njombe, Mzee Mwamwala, amewasihi watumishi wa Umma kuhakikisha kuwa wanatunza miundombinu ambayo imeletwa na Serikali katika maeneo yao ili iweze kutumika kwa mda mrefu.

 

 

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWENYE MIRADI KIKAMILIFU

    June 04, 2025
  • MAKETE IPO TAYARI KWA BBT

    May 26, 2025
  • WENYEVITI WA VIJIJI NA VITONGOJI WILAYANI MAKETE WATAKIWA KUFUATA ASHERIA, KANUNI NA MAADILI YA KAZI

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.