• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WANANCHI WAANZA UJENZI WA BARABARA

Tarehe Iliyowekwa: August 6th, 2022

Wananchi kutoka vijiji vitatu kwa kushirikiana na Mbunge Jimbo la Makete Mh. Festo Sanga wamekutana na kuamua kutengeneza barabara ya kuunganisha vijiji hivyo kwa lengo la kurahisha huduma za usafiri kutoka Imehe kuelekea Ilevelo.

Wananchi hao ni kutoka Kijiji cha Imehe, Ilevelo na Ugabwa wamekutana  tarehe 04 Agosti 2022 eneo la Gwamanga ambalo ni katikati ya vijiji hivyo na kuanza shughuli ya Maendeleo kwa kusafisha mazingira kwa kukata miti mikubwa pembezoni mwa mwa barabara itakayounganisha vijiji hivyo vitatu.

Mbunge Jimbo la Makete Mh. Festo Sanga ameshiriki katika shughuli hiyo ya kusafisha barabara itakayounganisha vijiji hivyo ambayo itafungua shughuli za kiuchumi kwa wananchi wa vijiji hivyo na kurahisha huduma za usafiri.

“Niwashukuru wananchi kwa kujitokeza na kushirikiana kufanya kazi hii, najua umuhimu wa barabara hii inayounganisha vijiji vitatu…tuliwasiliana na TARURA ambao walishafika hapa kuangalia barabara hii, tunategemea watatupa bajeti ili kuijenga kwa mitambo lakini niwashukuru wadau wanaoishi nje ya Kijiji cha Imehe kwa kujitolea kupasua mawe yalipo kwenye barabara na niwaombe waendelee kuungana nasi katika shughuli za maendeleo”.

Mwenyekiti wa Ujenzi wa Barabara hiyo amesemshukuru Mbunge kwa ushirikiano wake kwa kuamua kushiriki shughuli za maendeleo na wananchi wa vijiji hivyo na kwamba amewatia moyo zaidi katika ujenzi wa barabara hiyo.

Mwenyekiti wa Kijiji cha imehe ndugu Ibrahimu Kyando amesema kazi ya kuunganisha barabara hiyo ilianza tangu mwaka 2019 na wanatarajia mwaka huu inaweza kukamilika na shughuli za uzalishaji kiuchumi kuanza.

“Kwa umoja wetu unaotambulika kama Gwamanga nguvu moja tumeamua kushirikiana kwa Pamoja ili tujenge barabara hii ianze kupitika msimu wote wa mwaka, hapa tutapata fedha nyingi kupitia raslimali zilizopo kwenye milima hii ikiwemo Kilimo, Mbao n.k”

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 18, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWENYE MIRADI KIKAMILIFU

    June 04, 2025
  • MAKETE IPO TAYARI KWA BBT

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.