• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WANAWAKE MKOANI NJOMBE WATAKIWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI ZA UONGOZI IKIWA NI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WA 2025

Tarehe Iliyowekwa: March 8th, 2025

Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani kimkoa yamefanyika leo Machi 8,2025 katika Kijiji cha Bulongwa, kilichopo Kata ya Bulongwa, Wilaya ya Makete, Mkoani Njombe. 

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Antony Mtaka, Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Kissa Gwagisa Kasongwa, amesema kuwa Wanawake ni Nguzo muhimu katika Ujenzi wa Uchumi, Siasa na Maendeleo katika Jamii.

"Wanawake msiogope kugombea nafasi mbalimbali za Uongozi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, msitegemee vitu Maalumu kwakuwa uwezo mnao" Alisema Mhe. Kissa Kasongwa

Aidha Mhe. Kissa Kasongwa, amesema kuwa serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi ya kupambana na ukatili wa kijinsia huku Elimu ya Utolewaji wa Lishe Bora, ikindelea ikiwa ni kipaumbele kwa Mkoa wa Njombe na taifa kwa ujumla ili kuweza kuondokana na tatizo la Udumavu na kupata watoto wasio na afya Bora.  Hata hivyo Mhe. Kasongwa, ametumia nafasi hiyo kuwashauri wazazi na walezi kuwasomesha watoto wao ili wawe na nguvu kiuchumi pamoja na maarifa yatakayo wasaidia kusimama na kujitegemea.

Nae,Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe Mhe.Zakaria Mwansansu, amesema kuwa Serikali inafanya kazi kubwa ya kuhakikisha kuwa vitendo vya ukatili vinaisha, huku akiwasisitiza wanawake kuacha kushindana kwenye vitu visivyo na manufaa badala yake washindane kwenye mambo ya maendeleo ili waweza kujikwamua Kiuchumi.

Kwa Upande wake, Mbunge wa Jimbo la Makete, Mhe. Festo Sanga, akiwa katika maadhimisho hayo amesema kuwa kumekuwa na mmomonyoko mkubwa wa maadili katika jamii na taifa kwa ujumla hivyo wazazi wametakiwa kuwalea na kuwatunza watoto wao katika maadli yaliyo bora kwa manufaa ya taifa kwa ujumla

Ikumbukwe kuwa maadhimisho hayo kitaifa yamefanyika mkoni Arusha na yamekwenda sambamba na kauli mbiu isemayo "Wanawake na Wasichana 2025; Tuimarishe Haki na Usawa na Uwezeshaji". 

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.