• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WAZIRI CHANA AWATAKA WAKAZI WA MAKETE KUTUNZA HIFADHI ZA KITAIFA, SAMBAMBA NA KUZIFANYA FURSA

Tarehe Iliyowekwa: April 15th, 2025

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewataka wakazi wa Wilaya ya Makete, iliyopo Mkoani Njombe, kuhakikisha kuwa wanaachana na tabia ya kuharibu mazingira kwa kufanya shughuli za mbalimbali za kibinadamu ambazi ni hatarishi kwa ustahimilivu wa Hifadhi za Taifa.

Waziri Dkt. Pindi Chana, amesema hayo leo Aprili 15,2025, wakati akifungua seminaya kuwajengea uwezo wadau wa uhifadhi, kuhusu uanzishaji wa Jumuiya za Hifadhi za Wanyamapori (WMAs) na mikakati ya kukabiliana na changamoto za wanyamapori wakali na waharibifu, ambayo imefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete.

"Wilaya hii ya Mkaete, inapakana na maeneo yaliyohifadhiwa kama vile Hifadhi ya Taifa Kitulo, Pori la Akiba la Mpanga- Kipengele na misitu ya hifadhi ya Chimala,ambayo inasimamiwa na TFS, pamoja na eneo la Ushoroba wa Ndukunduku unaounganisha Hifadhi ya Taifa Kitulo na Pori la Akiba Mpanga Kipengele, hivyo basi hii ni Fursa kwenu kwa kujenga mioundombinu ambayo itakuwa na tija kiuchumi” alisema Waziri Chana.

Aidha, Mhe. Chana maeongeza kuwa, kupitia mafunzo hayo wananchi watajifunza mbinu mbalimbali za kukabiliana na wanyamapori wakali na waharibifu, kupambana na masuala ya moto pamoja na uanzishaji wa Jumuiya za Hifadhi za Wanyamapori, na kuwataka viongozi hao kuwa mabalozi wazuri kwa wananchi wao kupitia mikutano ya vijiji na kata.

Sambamba na hayo, Waziri huyo, amesema kuwa, Serikali kupitia Wizara ya Mali Asili na Utalii, imekuwa ikitatua changamoto mbalimbali za wanyamapori wakali na waharibifu, ambapo kumekuwepo na doria za ushirikiano wa taasisi za TAWA, TANAPA ili kudhibiti uharibifu wa wanyama hao kwenye makazi ya watu.

Naye, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii (anayeshughulikia Mali Asili), CP Benedict Wakulyamba, amewataka wakazi wa Wilaya ya Makete, kuzilinda hifadhi za Taifa, sambamba na kutumia fursa hizo kuwa chanzo cha kukuza uchumi wa kaya na taifa zima kwa ujumla.

Kwa Upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Kissa Gwakisa Kasongwa, ameishukuru Serikali kupitia Wizara hiyo, kwa kuendesha Mafunzo hayo ambayo yamekuwa na tija kubwa kwa wakazi wa Wilaya ya Makete, na kwamba imekuwa ni njia mojawapo ya kuwajengea uwezo wa kutambua fursa mbalimbali zinazopatikana kupitia hgifadhi za Taifa, pamoja na utuzanzaji wake.  



Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WENYEVITI WA VIJIJI NA VITONGOJI WILAYANI MAKETE WATAKIWA KUFUATA ASHERIA, KANUNI NA MAADILI YA KAZI

    May 15, 2025
  • KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA NDG. ISAMAIL ALLI USSI ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI WILAYANI MAKETE

    May 06, 2025
  • WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VYOMBO VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA NA KANUZI ZA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA

    April 29, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE LAPITISHA RASIMU YA SHERIA NDOGO MPYA ZA ADA NA USHURU

    April 25, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.