• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WAZIRI ELIMU PROF MKENDA AWATAKA WANAMAKETE KUENDELEA KUIAMINI SERIKALI ILIYOPO MADARAKANI

Tarehe Iliyowekwa: October 5th, 2024

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe, Prof. Adolf Mkenda, leo Agosti 5,2024 amewataka wakazi wa Wilaya ya Makete kuendelea kiunga mkono serikali ya Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kutokana na uboreshaji wa kila sekta ambazo zimekuwa zikiwagusa wananchi.

Prof. Mkenda amesema hayo leo Oktoba 5,2024 akiwa ziarani Wilayani Makete, wakati akikagua na kuzindua miradi ya Elimu upande wa Sekondari ambayo ni madarasa 22, matundu 36, na Mabweni Manne katika shule za Sekondari Iwawa na Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Makete, Kituo cha Afya Lupalilo pamoja Mradi wa Usambazaji maji Iwawa.

“wananchi mnachotaka ni Maendeleo, na mmekuwa mkiwachagua viongozi wenu ili wawaletee maendeleo hivyo basi endeleeni kuiamini serikali iliyopo madarakani kwasababu imekuwa ikiwaletea maendeleo kwenye maeneo, leo nimepita baabara ya Njombe-Makete ni bora sana hii kweli ni Ulaya ndogo” alisema Waziri Prof. Mkenda.  

Aidha, Waziri Mkenda, amewataka wakazi wa Makete, kuendelea kuwaamini viongozi waliowachagua kwasababu wamekuwa na ushawishi mkubwa serikalini na kupelekea uwepo wa miradi yakutosha ambayo ni  mizuri na imekuwa msaada mkubwa kwa wananchi hususani Elimu na Afya, na kwamba amelisikia ombi la Ujenzi wa Mabweni katika shule ya Sekondari Iwawa.

Kwa Upande wake katibu Tawala wa mkoa wa Njombe, Bi. Judica Omari, amesema kuwa, ujio wa Waziri wa Elimu Mhe, Prof. Adolf Mkenda umekuwa na tija kwa mkoa wa Njombe, kwakuwa umekuwa chachu kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

“nawaomba mkajiandikishe ili msipoteze haki zenu za msingi za kuwachagua viongozi ambao watakuwa chachu ya Maendeleo katika maeneo yenu” Alisema Bi. Judica Omari.

Naye, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, CCM, Wilaya ya Makete, Ndg. Clemence Mwawite Ngajilo, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwaamini viongozi waliopo Wilayani Makete kwakuwa wamekuwa wasimamizi wazuri wa miradi ya Elimu, Afya ambayo imekuwa msaada mkubwa kwa wananchi wa wilaya hiyo.

Nao baadhi ya viongozi mbalimbali akiwemo, wMbunge wa Jimbo la Makete, Mhe. Festo Sanga, amesema kuwa serikali imekuwa sikivu sana, hivyo anategemea wananchi atairudisha tena madarakani kuanzia uchaguzi wa serikali za mitaa ambako ndio mzizi wa maendeleo ya wananchi.

Ikumbukwe kuwa, ziara hiyo ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia ililenga kukagua miradi mbalimbali wilayani Makete, ambapo miradi ya Elimu katika shule za Sekondari Iwawa na Shule ya Sekondari wasichana Makete imezinduliwa, Kituo cha Afya Luapalilo kimezinduliwa, pamoja na Ukaguzi wa mradi wa ulazaji mabomba ya maji katika mji mdogo wa Iwawa.

 

 

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWENYE MIRADI KIKAMILIFU

    June 04, 2025
  • MAKETE IPO TAYARI KWA BBT

    May 26, 2025
  • WENYEVITI WA VIJIJI NA VITONGOJI WILAYANI MAKETE WATAKIWA KUFUATA ASHERIA, KANUNI NA MAADILI YA KAZI

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.