• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Historia

Wilaya ya Makete ni wilaya mojawapo kati ya 6 zilizopo Mkoa wa Njombe, ambapo Makao makuu yake yapo Makete mjini (Iwawa).

Wilaya ya Makete, ina Kata 23 pamoja na vijiji 98.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi waliohesabiwa walikuwa 109,160,  Ongezeko hilo dogo kabisa hutokana na idadi kubwa ya watu wake kukimbilia mijini, hivyo ni kwa sababu ya kutasfuta maisha ili waweze kukua kiuchumi.

Sababu nyingine ni uenezi wa UKIMWI katika wilaya hiyo ambayo inashika nafasi ya kwanza kwa maambukizi nchini Tanzania.

Wenyeji wa Makete ni Wakinga wanaotumia lugha iitwayo Kikinga, Wamahanji wanaopatikana Ukanda wa kusini wa Bonde la Matamba, pamoja na Wasangu,Wabena ambao wanapatikana Kata ya Mfumbi.

Tokea miaka ya 2000 kabila la Wakinga lilianza kufahamika sana nchini Tanzania kutokana na watu wake kuenea maeneo mengi wakijishughulisha na biashara mbalimbali, hususani biashara ya maduka ambayo imepelekea kuwapatia umaarufu mkubwa katika fani hiyo.

Maeneo ambayo watu hao wameenea kwa wingi ni kama vile Mbeya, hususani wilaya ya Tunduma, Dar es Salaam (Kariakoo) na Songea.

Hali ya hewa Makete ni baridi kali kwa maeneo ya Kata kama za Kitulo, Mang`oto, Iwawa, Ipelele, Iniho, lakini maeneo mengine huwa na joto kiasi.

Chakula maarufu katika wilaya hii ni viazi ambavyo pia hutengenezwa ugali uitwao Usuge ambao ni mchanganyiko wa viazi na unga au maharage.

Kilimo cha biashara ni Viazi Mviringo, Pareto, Miti ya mbao na matunda, Wilaya hii pia inasifika kwa kilimo cha ngano na mahindi.

Wilaya ya Makete inategemea barabara mbili kuu ya kutoka Njombe na nyingine kutoka Mbeya, kipindi hiki moja ya kutoka Njombe inapitika.

Barabara wilayani humo kama katika wilaya nyingine kama zinapitika, zinachangia kukuza uchumi wa wilaya hiyo, lakini zinazopokuwa mbovu zinachangia

Katika siasa wilaya hii imeongozwa na wabunge wanne toka ianzishwe, ambao ni ni Tuntemeke Sanga, ambaye ni marehemu kwa sasa, Hansi Kitine, Binirithi Mahenge, na Mhe. Festo Sanga ambaye ndiye mbunge wa Jimbo la Makete kwa sasa.

Utamaduni wa wilaya hii ni ngoma ya asili iitwayo Kivilela ambayo huchezwa na wanaume wakiwa na njuga na wanawake pia.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA NDG. ISAMAIL ALLI USSI ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI WILAYANI MAKETE

    May 06, 2025
  • WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VYOMBO VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA NA KANUZI ZA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA

    April 29, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE LAPITISHA RASIMU YA SHERIA NDOGO MPYA ZA ADA NA USHURU

    April 25, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE APONGEZA JUHUDI ZA UPAMBANAJI WA UDUMAVU WILAYA YA MAKETE

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.