• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA WILAYA YA MAKETE AWATAKA WASAMBAZAJI WA PEMBEJEO ZA KILIMO KUFUATA SHERIA

Tarehe Iliyowekwa: October 8th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Kissa Gwakisa Kasongwa, leo Oktoba 8,2025, amewataka wasambazaji wa Pembejeo za kilimo hususani Mbolea kufuata sheria zilizowekwa na serikali katika uuzaji wa bidhaa hizo ili kutoingia migogoro na Serikali pamoja na wakulima au kupoteza bishara zao.

Mhe. Kasongwa, amesema hayo wakati akiongoza kikao cha Wadau wa Pembejeo za kilimo Wilayani Makete, katika Ukumbi wa Bomani, ambacho kililenga kutafuta suluhu ya gharama za uuzaji na usambazaji wa bidhaa hiyo kutokana na changamoto ya Jiografia iliyopo ndani ya Wilaya ya Makete.

“niwaombe sana wafanyabishara na wasambazaji wa pembejeo hizi za kilimo tufuate sheria zilizowekwa na serikali katika kuhakikisha kuwa mnauza bei elekezi ya ruzuku bila kumnyonya mkulima, kuongeza bei ni kosa la Jinai, na leo tumependekeza ongezeko la elfu 3000 ,2000 na 1500, kulingana na umbali, ili kuwasaidia kufikisha mbolea kwa wakulima” alisema Mhe. Kissa Kasongwa.

Kwa Upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg, Jerry Diamon Mwaga, amewapongeza wafanyabishara hao kwa kuweka msawazo wa changamoto ambazo zimekuwa zikiwakabili, na kwamba waende wakawasaidie wakulima kuhakikisha kuwa wanapata pembejeo kwa wakati kwakuwa Halmashauri inaendelea kuweza mazingira  bora ya uwekezaji katika Kilimo.

Naye, Meneja wa TFRA, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Ndg. Joshua Ng’ondya, amewataka wasambazaji hao kuacha tabia ya kulangua pembejeo za kilimo kwakuwa ni kosa la jinai, hivyo kila mmoja ahakikishe anasimamia leseni yake inavyomtaka, sambamba na kuhakikisha kuwa wanawahudumia wakulima waliosajiliwa ili kutowapa hasara wasambazaji wakubwa.

Hata hivyo, Mkuu wa Idara ya Kilimo Uvuvi na Mifugo, Mhandisi Evans Mdee, amewataka wafanyabiashara hao kuweka takwimu sahihi za wakulima ambao wamekuwa wakinunua mbolea kwao ili iwasaidie katika kupata uhitaji wa pembejeo za kilimo.

Akizungumza kwa niaba ya wasambazaji wa Mbolea Wilaya ya Makete, Mama Tuli Mwasanga, ameishukuru serikali kwa kusikia kilio chao kwa kukubaliana na ombi lao la kuongeza kiasi kisichozidi elfu 3000 kwa kata na maeneo ya mbali kama vile kata ya Lupila na Kinyika.

 

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA - UTOLEWAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI 2025-2026 November 16, 2025
  • MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA AAGIZA KUKAMILISHA MIRADI KWA HARAKA

    November 26, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI MAKETE DC , JERRY MWAGA, AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII

    November 13, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. KISSA KASONGWA AWATAKA WAFANYABISHARA WILAYANI HUMO KUWEKEZA NYUMBANI

    November 12, 2025
  • DED MWAGA AONGOZANA NA MENEJA TARURA KUKAGUA BARABARA YA MANG'OTO IBAGA

    November 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.