• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DED MWAGA AWATAKA AELEKEZA UKAMILISHAJI WA MIRADI YENYE UBORA

Tarehe Iliyowekwa: October 2nd, 2025

Wasimamizi wa Utekelezaji za miradi mbalimbali ya maendeleo katika Hakmashauronya Wilaya ya Makete, Mkoani Njombe wametakiwa kusimamia kikamilifu miradi hiyo iwe na ubora unaotakiwa na Serikali pamoja na kuhakikisha kuwa inakamilika kwa wakati.

Hayo, yamenainishwa leo Oktoba 2,2025, na Mkrugenzi wa Halmashauri Wilaya Makete Ndg. Jerry Daimon Mwaga wakati alipotembelea na kukagua miradi mbalimbali katika Kata za Luwumbu na Kipagalo.

Aidha, Ndg. Mwaga, amewataka wasimamizi hao kuhakikisha kuwa miradi hiyo iendanene na thamani ya fedha zinazoyolewa pamoja na kudumu kwa muda mreru.

Kwa Upande wake, Mwenyekiti wa Kijiji Cha Unenamwa, Ndg. Martin Kyando amempongeza mkurugenzi kwa kazi nzuri ya kutembelea na kukagua miradi ndani Halmashauri hiyo, huku akisema kuwa wananchi wa kata ya Luwumbu wameipokea kwa kwa furaha miradi hiyo na watashiriki kwa nguvu zao zote ili kuhakikisha inakamilika kwa wakati.

Naye Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi, Mwl. Erasto Mkalawa, ameishukuru serikali kwa kuwapatia fedha kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule hiyo, na kuongeza kuwa kukamilika kwa vyumba hivyo kutaboresha mazingira ya elimu kwa wanafunzi.

Ikumbukwe kuwa, Miradi iliyokaguliwa leo ni pamoja na ujenzi wa vyumba vya madarasa mawili na matundu ya vyoo kwenye Shule ya Msingi Luwumbu kata ya Luwumbu,ujenzi wa madarasa matano na matundu ya vyoo 12 kwenye shule ya msingi Unenamwa kata ya Luwumbu, ujenzi wa nyumba ya mwalimu shule ya msingi Mahulu na shule ya msingi madihani pamoja na kukagua umaliziaji wa nyumba ya watumishi kwenye kituo cha afya Kipagalo.


Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA USAILI WA AJIRA ZA MUDA KWENYE USIMAMIZI WA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA 29-2025 , USAILI UTAFANYIKA TAREHE 9/10/2025 October 06, 2025
  • MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE AWATAKA WASAMBAZAJI WA PEMBEJEO ZA KILIMO KUFUATA SHERIA

    October 08, 2025
  • DED MAKETE AWATAKA MAFUNDI KUKAMILISHA MIRADI KWA WAKATI NA KWA UFANISI MKUBWA

    October 03, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA AELEKEZA UKAMILISHAJI WA MIRADI YENYE UBORA

    October 02, 2025
  • DED MAKETE AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KIKAMILIFU KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA SERIKALI

    October 01, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.