• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. KISSA KASONGWA AWATAKA WAFANYABISHARA WILAYANI HUMO KUWEKEZA NYUMBANI

Tarehe Iliyowekwa: November 12th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Kissa Gwakisa Kasongwa, leo Novemba 12,2025, ameongoza Kikao cha Baraza la Wafanyabiashara wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, ambacho kimefanyika katika Ukumbi wa Bomani na kukutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya Biashara Wilayani humo.

Akifungua Baraza hilo, Mhe. Kissa Kasongwa, amewataka wataalam kutoka Serikalini kuhakikisha kuwa wanatatuta changamoto za wafanyabiashara ili kuhakikisha kuwa mazingira yao ya ufanyaji kazi yanakuwa rafiki katika kukuza uchumi wa Wilaya ya Makete pamoja Taifa zima kwa Ujumla.

“Makete inafunguka kiuchumi, watu wengi wanataka kuja kuwekeza Makete, hivyo basi nanyinyi wafanyabiashara hakikisheni kuwa mnawekeza kwenye viwanda vikubwa, ardhi pamoja na maeneo mengine kwasabau Wilaya hii ina fursa nyingi sana endapo kama ukiamua kuzitumia fursa hizo” alisema Mhe. Kissa.

Aidha, ameongeza kuwa lengo la serikali ni kuhakikisha kuwa kila mfanyabiashara, mjasiriamali anapata mazingira wezeshi ambayo yatamfanya aweze kufanya shughuli zake za kujiongezea kipato bila bughudha, hivyo basi mabaraza ni sehemu ambayo mtu anaweza kusema changamoto anayopitia ili iweze kutatuliwa.

Kwa upande wake Katibu Tawala wa Wilaya ya Makete, Bi. Grace Mgeni, amewapongeza watalaam wa Serikali kwa kuendelea kutoa huduma nzuri kwa wafanyabishara kutokana na kupungua kwa kero za wafanyabishara Wilaya ya Makete, kulingana na ilivyokuwa hapo awali.

Pia, Bi. Grace Mgeni, ameziomba taasisi za Serikali ziendelee kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha kuwa wanaweka mazingira wezeshi ya mfanyabiashara kufanya shughuli zake kiufasaha na anapokutana na changamoto aweze kutatuliwa kwa haraka, sambamba na kuwasihi wafanyabiashara hao kuzitumia ofisi za Serikali kwakuwa zipo kwa ajili yao.

Nao wafanyabishara wa Wilaya ya Makete, akiwemo Diwani Mteule wa Kata ya Tandala, Mhe. Ignatio Mtawa, amesema kuwa kuna changamoto ya uelewa kwa wananchi pamoja na wajasiriamali wadogo kuhusu namna kodi zinavyotozwa kupitia mifumo mbalimbali ambapo ameziomba Mamlaka husika kama vile TRA kuendelea kutoa elimu ili wajasiriamali hao waweze kuwa na uelewa mpana wa kodi.


Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA - UTOLEWAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI 2025-2026 November 16, 2025
  • MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI MTENDAJI MAKETE DC , JERRY MWAGA, AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII

    November 13, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. KISSA KASONGWA AWATAKA WAFANYABISHARA WILAYANI HUMO KUWEKEZA NYUMBANI

    November 12, 2025
  • DED MWAGA AONGOZANA NA MENEJA TARURA KUKAGUA BARABARA YA MANG'OTO IBAGA

    November 12, 2025
  • WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA UCHAGUZI

    October 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.