• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

ANUANI ZA MAKAZI

Tarehe Iliyowekwa: May 28th, 2022

Katibu Tawala Mkoa wa Njombe Bi. Judica Omari amepongeza zoezi la anuani za Makazi lilivyotekelezwa Wilayani Makete Mkoani Njombe.

Pongezi hizo zimetolewa leo Mei 28 wakati wa ukaguzi maalumu wa kuangalia jinsi zoezi lilivyotekelezwa kwenye makazi ya watu, Taasisi za kiserikali na zisizo za kiserikali alipotembelea Kata ya Mang’oto, Tandala, Lupalilo, Iwawa na Bulongwa.

Bi. Judica amewataka watendaji wa Vijiji vyote na Kata zote Wilayani Makete kuandaa daftari litakalokuwa na orodha ya majina ya wananchi wote na namba zao za simu, kaya zote na mitaa yote kwa kuwa zoezi hili litaendelea kuboreshwa zaidi.

Watendaji wa Kata ya Mang’oto, Tandala, Lupalilo, Iwawa na Bulongwa wakati wakitoa taarifa za namna zoezi lilivyofanyika, wamesema zoezi la anuani za makazi kwenye makazi ya watu, taasisi mbalimbali, nguzo za mitaa na barabara limekamilika kwa asilimia 100.

Mkuu wa Wilaya ya Makete Mh. Juma Sweda amempongeza Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Ndg. William Makufwe, watendaji wa vijiji na kata kwa kazi kubwa waliyoifanya katika usimamizi wa zoezi hilo la anuani za makazi.

“Niwapongeze wasimamizi wa zoezi hili kuanzia Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, watendaji wa vijiji na watendaji wa Kata wamefanya kazi kubwa ya kusimamia na hasa kata ya Mang’oto walikuwa wa kwanza kumaliza zoezi hili”.

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Makete Ndg. William Makufwe amesema Pamoja na changamoto mbalimbali walizokutana nazo, zoezi limefanikiwa vizuri na kuahidi kuyafanyia marekebisho kadhaa ambayo yamebainika wakati wa ukaguzi ambazo ni baadhi ya watu kuweka namba za vibao kwenye maeneo ambayo ni ngumu kuitambua namba hiyo

Pia baadhi ya nguzo za barabara za mitaa kuwekwa karibu sana na barabara hivyo zihamishwe ili zisiharibiwe na watumiaji wa barabara.

Zoezi la ukaguzi wa Anuani za makazi na nguzo za mitaa na barabara linafanyika kwa muda wa siku mbili Mkoa mzima wa Njombe kuanzia tarehe 28-29, Mei 2022 likiongozwa na Mkuu wa Mkoa Mh. Waziri Kindamba.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.