• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

ASKOFU SANGA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI WA BIL.1.2 MBALACHE

Tarehe Iliyowekwa: October 13th, 2022

Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Antony Sanga amesema miradi ya maji yenye thamani zaidi ya shilingi Bilioni 9 inatekelezwa katika kipindi cha mwaka 2022/23

Akizungumza kwenye uwekaji wa jiwe la Msingi mradi wa maji Kata ya Mbalache utakaohudumia vijiji viwili ambavyo ni Lupombwe na Mbalache mradi unaojengwa kwa ufadhili wa Jumuiya ya Kanisa la Kilutheri ya Hamburg Blankenese Ujerumani kwa kushirikiana na Serikali, Mhandisi Sanga amesema Serikali imepanga kufikia 2025 wananchi wa vijijini wawe wanapata maji kwa 85% hivyo Wilaya ya Makete inatekeleza miradi mbalimbali ili kusogeza huduma ya maji karibu na wananchi

Baba Askofu wa KKKT-DKK Makete Mch. William Sanga amesema Kanisa limeendelea kutimiza wajibu wake wa Kitume kutoa huduma kwa wananchi ikiwemo kusogeza huduma za maji kwa Wananchi

Mchungaji Klaus Poehls Mwakilishi wa Kanisa la Kilutheri Hamburg Blankenese Ujerumani amesema mradi huo utafanya kazi ya kuhudumia wananchi wa Mbalatse na Lupombwe huku akiwapongeza kwa bidii waliyoitoa wakati wote wa ujenzi wa Mradi huo

Mkurugenzi Mtedaji Halmashauri ya Wilaya ya Makete William Makufwe amewashukuru wanajumuiya hao kwa kuisaidia Serikali kufikisha huduma kwa wananchi huku akiwataka wananchi wa Mbalatse kuutunza mradi huo na kulinda mazingira

Mkurugenzi wa Udiakonia Elikana Kitahenga amesema mpaka kukamilika kwa mradi huo utakuwa umegharimu kiasi cha shilingi Bilioni 1 na milioni 200 huku ukitarajia kuhudumia wananchi zaidi ya 2000

Kwa upande wao wananchi wa Mbalache wamewashukuru wadau hao na Serikali kwa kuwapelekea mradi huo mkubwa maji ambao unakwenda kutatua changamoto ya uhaba wa maji katika vijiji vyao


BONYEZA HAPA KUTAZAMA VIDEO

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.