• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

BAKITA YATOA ELIMU KUHUSU MATUMIZI YA LUGHA KWA WANAHABARI NJOMBE

Tarehe Iliyowekwa: August 26th, 2023

Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) limetoa elimu kuhusu Matumizi sahihi ya Lugha ya Kiswahili kwa Waandishi wa Habari na Maafisa Habari Mkoa wa Njombe

Huu ni katika kuhakikisha Matumizi ya Lugha kwa Wanahabari katika maeneo yao ya kazi na kuongeza chachu ya Matumizi sahihi ya Kiswahili kwa Wananchi kupitia vyombo vya Habari.

Mhariri Mwandamizi kutoka BAKITA Ndugu Onni Sigala Maudhui yanayotolewa kwa walaji kupitia burudani, Habari kuwa fasaha na sanifu kwani Vyombo vya habari visipotumia Lugha Fasaha inaweza kupotosha Jamii au kudobosha habari nzito na makini ambayo ilimefikiwa kwa Jamii

Hivyo kushusha thamani ya maudhui ambayo yamekusudiwa kuwafikia walengwa

Onni Sigala Mhariri Mwandamizi BAKITA amesema kumekuwa na makosa mengi yanayofanywa na Wanahabari katika maudhui yanayotolewa kupitia vyombo husika vya habari na kusababisha kutoonyesha umakini na adabu kwa Mtazamaji, Msikilizaji au msomaji kwa kutotumia tafsida/Lugha ya kificho katika mambo ya Kijamii.

“Sisi kama Wanahabari tunapaswa kuzingatia Utamaduni wa Jamii yetu na walengwa wanaopata habari wakati wote wa upashanaji wa Habari kwa Jamii bila kuwanyima taarifa kwani kufanya hivyo ni kutotenda haki ya kupata na kutoa taarifa”.

Katibu Mtendaji BAKITA Bi. Consolata Mushi amewasihi waandishi wa Habari kufanya utafiti wa taarifa kwa umakini ili kutobebesha baadhi ya misamiati isiyo sahihi katika taarifa zinazotolewa kupitia Redio, Televisheni, Magazeti na hata mitandao ya Kijamii

Bi. Mushi amesema ni vema waandishi wa Habari wakajikita katika kuongeza umakini kwenye uandishi, utamkaji wa maneno na Uhariri huku akiwasihi wanahabari kuteua maneno ya kutoa kwa Jamii kulingana na ufasaha wa Lugha

“Waandishi wa Habari ni nyenzo muhimu ya kukuza Kiswahili ndani ya Tanzania na Mataifa ya nje kupitia taaluma mliyonayo ambayo inaweza kuwa njia rahisi ya kubidhaisha Lugha yetu”

“Waandishi wa Habari mnafuatiliwa na watu wengi kwa muda mfupi na hii inasababisha watu kupata taarifa kwa haraka zaidi kuliko mtu yeyote…mnapaswa kusaidia ukuzaji wa Lugha kwa kutumia maneno sahihi”

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.