• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

BARAZA LA ARDHI LAANZA KAZI MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: March 23rd, 2023

Baraza la Ardhi na nyumba Wilaya ya Makete limeanza kufaya kazi rasmi hii leo tarehe 23 Machi, 2023 ambapo limeanza kusikiliza mashuri ya Migogoro ya Ardhi kwa wananchi wa Makete.

Kabla ya Baraza hili kuanza kufanya kazi wananchi wa Makete walikuwa wanalazimika kusafiri zaidi ya Kilomita 100 kwenda Njombe kwa ajili ya kufuata huduma ya utatuzi wa Migogoro ya Ardhi.

Ikumbukwe kwamba utatuzi wa Migogoro ya Ardhi inaanzia ngazi ya Baraza la Kata lenye Mamlaka ya kusikiliza na kusuluhusisha Migogoro ya Ardhi (Haina Mamlaka ya kutoa hukumu Bali ni kufanya usuluhishi tu), endapo Usuluhishi ukishindikana katika Baraza la Kata wahusika wanaweza kufungua shauri katika baraza la Ardhi na nyumba Wilaya na kama hawakuridhika na uamuzi wanaweza kukata rufaa kwenda Mahakama Kuu na chombo cha juu kabisa cha kusikiliza rufaa ni Mahakama ya Rufaa Tanzania.

Kuanzishwa kwa baraza la Ardhi na nyumba Wilaya ya Makete itasaidia wananchi kupunguza gharama za kuendesha mashauri ya Ardhi na muda waliokuwa wanatumia kwani wananchi hawatasafiri kwenda Njombe kwa kuwa Sasa watapata huduma ndani ya Wilaya ya Makete.

Kuanza kwa Baraza la Ardhi na nyumba leo kumehudhuriwa na Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na nyumba la Wilaya Mh.Gaudensia Ngh'umba, Wazee wa Baraza, Mawakili wa Serikali na Mawakili wa kujitegemea.

Baadhi ya Wananchi waliohudhuria uanzishwaji wa Baraza hilo wameishukuru Serikali kwa kuanzisha Baraza hilo ambapo awali walikuwa wakitumia gharama nyingi kwenda Njombe

Ikumbukwe kuwa tangu Uhuru Wilaya ya Makete haijawahi kuwa na Baraza hilo, hivyo jitihada za Ofisi ya Mkuu wa Mkuu wa Wilaya ya Makete ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya Mhe. Juma  Sweda, Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Makete ikiongozwa na Mkurugenzi William Makufwe wamefanya jitihada kubwa kuhakikisha Wizara ya Ardhi inafungua Ofisi ya Baraza la Ardhi na nyumba Makete ambapo Halmashauri imefanya ukarabati wa nyumba inayomilikiwa na Halmashauri kuhakikisha wanarahisisha upatikanaji wa huduma kwa wananchi wake.

Mabaraza ya Ardhi na nyumba ya Wilaya yanaundwa chini ya Sheria ya Mahakama za Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi sura ya 216.

Uzinduzi rasmi wa huduma ya Baraza la Ardhi na nyumba Makete ufanyika siku  chache zijazo.


Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWENYE MIRADI KIKAMILIFU

    June 04, 2025
  • MAKETE IPO TAYARI KWA BBT

    May 26, 2025
  • WENYEVITI WA VIJIJI NA VITONGOJI WILAYANI MAKETE WATAKIWA KUFUATA ASHERIA, KANUNI NA MAADILI YA KAZI

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.