• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE, YARIDHIA BAJETI YA BILIONI 40,250,410,000.00

Tarehe Iliyowekwa: February 13th, 2024

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Makete, leo Februari 13,2024, limepitisha mapendekezo ya rasimu ya Bajeti, kiasi cha shilingi Bilioni 40,942,877,000.00, ikijumuisha mapato ya ndani, Shilingi bilioni 4,240,410,000,000, Ruzuku ya Mishahara bilioni 24,078,782,000.00, Ruzuku ya matumizi ya kawaida shilingi bilioni 1,086,310,000.00. 

Akizungumza mara baada ya kupitishia bajeti hiyo, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Mhe. Christopher Yonam Fungo, amesema kuwa kila mtumishi wa umma pamoja na madiwani kwa pamoja wanawajibu wakutekeleza yale ambayo wamekubaliana katika baraza hilo, kupitia bajeti hiyo ili wananchi waweze kupata maendeleo katika maeneo yao. 

Kwa Upande, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mekete, Ndg. William Makufwe, amewaomba madiwani wa halmashauri hiyo, kuwa mstari wa mbele katika kusimamia miradi ambayo inapelekwa na serikali kwenye maeneo yao, kwakuwa wao nido wasimamizi wakuu wa kata husika.

“mwaka huu tumetenga zaidi ya bilioni 1.2 ili kukamilisha maboma ambayo yalianzishwa na wananchi kwenye maeneo yao, hivyo basi nawaomba Madiwani mkashiriki kikamilifu katika miradi hiyo kwakuwa ninyi ndio watekelezaji na wasimamizi wa miradi hiyi kwenye maeneo yenu, kama unataona kunasintofahamu katika utekelezaji wake uliza ili uweze kupatiwa majawabu sahihi” alisema Ndg. Makufwe.

Sambamba na hayo, Ndg. Makufwe, amewashauri madiwani hao kutoanzisha miradi mipya mpaka ikamilike iliyopo, ikiwa ni pamoja na kuwataka watendaji kuisimamia miradi hiyo vizuri.

Nao, baadhi ya Madiwani wa halmashauri ya Wilaya ya Makete, wameishukuru serikali kwa kuweza kutenga fedha hizo ili ziende kukamilisha miradi viporo ambayo imeanzishwa kwa nguvu za wananchi kwakuwa imekuwa ikiwasumbua kwa mda mrefu.

Naye, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi,CCM, Ndg. Clemence Ngajilo, amewataka madiwani kuwa na umoja katika kuijenga Makete, kwakuwa wote ni wanaccm, hivyo hakuna haja ya kugombaniana miradi, bali waisimamie ili iweze kuwanufaisha wao na wananchi kwa ujumla.

Imeandaliwa na : 

Kitengo cha Mawasiliano, 

Halmashauri ya Wilaya ya Makete.












ReplyForward


Add reaction










Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA - UTOLEWAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI 2025-2026 November 16, 2025
  • MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA AAGIZA KUKAMILISHA MIRADI KWA HARAKA

    November 26, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI MAKETE DC , JERRY MWAGA, AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII

    November 13, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. KISSA KASONGWA AWATAKA WAFANYABISHARA WILAYANI HUMO KUWEKEZA NYUMBANI

    November 12, 2025
  • DED MWAGA AONGOZANA NA MENEJA TARURA KUKAGUA BARABARA YA MANG'OTO IBAGA

    November 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.