• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

BENKI YA NMB MAKETE IMEKABIDHI BATI 200 ZAHANATI YA IVILIKINGE

Tarehe Iliyowekwa: June 13th, 2022

Benki ya NMB-Tawi la Makete imekabidhi msaada wa bati 200 zenye thamani ya Milioni nane kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Ivilikinge Kata ya Isapulano Wilayani Makete Mkoani Njombe

Mgeni rasmi kwenye makabidhiano yaliyofanyika leo Juni 13, 2022 kijijini hapo alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda ambaye amewashukuru wadau wa Benki hiyo na wadau wa Maendeleo kijijini hapo Mwapima Forum ambao pia wametoa Misumari na fedha kiasi cha Shilingi Laki 5 kusaidia Ujenzi huo

Meneja NMB Kanda Ndg. Straton Chilongola amesema msaada huo ni katika kurudisha fadhila kwa jamii na wateja wa Benki hiyo  ambapo Benki imeendelea kutoa michango mbalimbali katika sekta ya Elimu na Afya

“Katika Wilaya ya Makete Benki yetu imekuwa ikitoa misaada mbalimbali ambapo tumesaidia vifaa shule ya Sekondari Isapulano, Lupila, Mount Chefukwe, vifaa tiba kituo cha Afya Matamba na leo tumeleta bati hapa zahanati ya Ivilikinge”.

Balozi wa Benki hiyo Ndg. Award Mpandila amewashukuru wadau hao kwa kusaidia wananchi wa Ivilikinge kwa upande wa afya  jambo ambalo amesema ni vigumu kwa taasisi zingine kulifanya kwa maeneo ya vijijini kama Ivilikinge.

Wananchi wa Kijiji cha Ivilikinge wamewashukuru NMB na wadau wa Maendeleo kijijini MWAPIMA FORUM hapo kwa msaada huo huku wakisema kukamilika kwa zahanati hiyo kutasaidia kupata huduma za Afya karibu na makazi yao.

Katika ujenzi wa Zahanati hiyo nguvu za wananchi, wadau wa Maendeleo MWAPIMA FORUM, Mbunge Jimbo la Makete Mh. Festo Sanga wameshirikiana kujenga jingo hilo na kufikia hatua ya kupiga bati.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.