• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

CHANJO YA POLIO NA UVICO-19

Tarehe Iliyowekwa: April 25th, 2022

Halmashauri ya Wilaya ya Makete kupitia Idara ya afya wamefanya Kikao kazi kwa ajili ya kujadili njia bora zaidi za kukabiliana na ugonjwa wa Polio na UVIKO-19

Katika kikao hicho cha Kamati ya Afya ya Msingi ya Wilaya ya Makete wamejadili juu ya kampeni ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa Polio na UVIKO- 19 lengo likiwa ni kuwafikia wananchi zaidi ya elfu hamsini (50,000) ambayo ni sawa na 70%.

Akizungumzia kuhusu zoezi hilo Kaimu Mratibu wa chanjo Wilaya ya Makete Daktari Omary Omary amesema, katika zoezi la kuchanja chanjo ya Polio kwa watoto limefikia 105% ambayo ni sawa na watoto elfu kumi na nne mia tatu arobaini na tano (14,345) ambao wamepata chanjo ya Matone ya Polio awamu ya kwanza.

Kuhusu Chanjo ya UVIKO-19 amesema ni 7% tu ya waliochanja,  hivyo jitihada zaidi zinahitajika katika kuhakikisha idadi ya waliochanja inaongezeka zaidi ili kufikia lengo la Serikali kwa asilimia 70 kwa Wilaya ya Makete.

Daktari Monica Bilva ambaye ni msimamizi wa kampeni ya Chanjo ya Polio Mkoa wa Njombe kutoka Wizara ya Afya (MOH) amesema zoezi hili linafanyika kutokana na kupatikana mgonjwa mmoja wa Polio aliyepatikana nchi jirani ya Malawi na kulazimu nchi jirani ikiwemo Tanzania kuanza kuchukua hatua za kujikinga na ugonjwa huo kwa kuwachanja Watoto walio na umri chini ya miaka mitano (05).

“Tanzania hatuna mgonjwa wa polio tangu mwaka 1996, hivyo tunatoa kinga thabiti kwa Watoto ili kubaki kuwa salama kwa kuwa ugonjwa huu hauna tiba bali kuna uwezekano wa kujikinga mapema kwa kuchanja na Watoto chini ya miaka mitano wape chanjo ya matone ya polio”

Mganga Mkuu Wilaya ya Makete Daktari Ligobert Kalisa akizungumza na wanakamati hao ambao ni Viongozi wa dini, watendaji wa Kata, Maafisa Tarafa, waganga wafawidhi, Viongozi wa Siasa n.k amesema, watumishi wanapaswa kutilia mkazo kwa kutoa elimu zaidi kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kuchanja ili kujikinga na polio na UVIKO-19.

“Tunajua kuna ugumu huko kwa wananchi lakini tunapaswa kufanya kazi kama ushirikiano katika ngazi ya kata na vijiji ili kufikia hatua nzuri zaidi”.

Kampeni ya Chanjo ya Polio na UVIKO-19 awamu nyingine inatarajiwa kuanza tarehe 28 Aprili 2022 ambapo wananchi wanapaswa kujitokeza kwa wingi ili kuwanusuru na hali ya hatari kiafya.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Ndg. William Makufwe amesema zoezi hilo litafanyika nyumba kwa nyumba katika Wilaya nzima kwa kauli mbiu inayosema MAKETE TUNACHANJA, UJANJA NI KUCHANJA na kuifikia 70% ndani ya kipindi cha kampeni kwa muda mfupi ujao.


Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.