• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DC SWEDA AHIMIZA WAJAWAZITO KUJIFUNGULIA KWENYE VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA

Tarehe Iliyowekwa: July 12th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda amewahimiza wanawake wenye ujauzito kuhudhuria kliniki wakati wote wa kulea mimba na kuhakikisha wanajifungulia kwenye Vituo vya kutolea huduma za Afya.

DC Sweda ameyasema haya wakati akiwa kwenye ziara yake ya kikazi kwenye Kata ya Luwumbu alipokuwa akizungumza na Wananchi kwenye Mkutano wa hadhara mara baada ya kuitembelea Zahanati ya Luwumbu.

"Serikali kila siku inajitahidi kuendelea kuboresha huduma za Afya kwa kuwezesha ujenzi wa Zahanati, Vituo vya Afya, Hospitali ikiwa ni pamoja na kuimarisha upatikanaji wa huduma na madawa hivyo ili tuwe na vizazi vingi vyenye uhai ni lazima tuhakikishe wanawake wajawazito wanajifungulia sehemu salama kwenye Vituo vya kutolea huduma za Afya na tuache tabia za kujifungulia majumbani" amesisitiza Mhe. Juma Sweda.

Aidha, kupitia Mkutano huo wa hadhara Diwani wa Kata hiyo, Mhe. Felicks Kyando amewasilisha kero mbalimbali za wananchi wa Kata hiyo ikiwemo ubovu wa barabara, uchache wa rasilimali fedha za kukamilishia ujenzi wa majengo ikiwemo umaliziaji wa daharia ya wasichana Shule ya Sekondari Usililo na Ujenzi wa jengo la Utawala Shule ya Sekondari Usililo pamoja na Ujenzi wa Ofisi ya Mtendaji wa Kata.

Hata hivyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Ndugu Francis Namaumbo amewahamasisha Viongozi kwenye Vijiji na Kata kuendelea kuibua miradi na kuisimamia hasa kusimamia vema fedha zinazochangwa na wananchi na zile zinazotolewa na wadau mbalimbali pamoja na Serikali.

Awali, Katibu Tawala wa Wilaya ya Makete Bi. Grace Mgeni ameiasa jamii kuwatimizia mahitaji wanafunzi (watoto) ya shuleni ili waweze kusoma vizuri na kupata matokeo mazuri hasa wanafunzi wa kike ili kuondokana na vishawishi vinavyopelekea mimba za utotoni.

#MaketeMojaTuijengePamoja

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA NDG. ISAMAIL ALLI USSI ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI WILAYANI MAKETE

    May 06, 2025
  • WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VYOMBO VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA NA KANUZI ZA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA

    April 29, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE LAPITISHA RASIMU YA SHERIA NDOGO MPYA ZA ADA NA USHURU

    April 25, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE APONGEZA JUHUDI ZA UPAMBANAJI WA UDUMAVU WILAYA YA MAKETE

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.