• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA WILAYA YA MAKETE APONGEZA JUHUDI ZA UPAMBANAJI WA UDUMAVU WILAYA YA MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: April 24th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Kissa Gwakisa Kasongwa, amewataka Watendaji wa Kata kuwa wabunifu katika kuhakikisha kuwa wanapambana na udumavu kwenye maeneo yao wanayoyasimamia.

Mhe. Kasongwa, amesema hayo leo Aprili 24,2025, wakati wa kikao cha Utekelezaji wa Viashiria vya Lishe ngazi ya Kata, katika Robo ya Tatu kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025, ambacho kimefanyika katika Ukumbi wa Bomani uliopo katika ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Makete.

“Kila mtu akaongeze ubunifu wake katika kutekeleza Afua za Lishe, kwenye maeneo yenu, sambamba na kushirikiana na wadau mbalimbali ili kuongeza Virutubisho kwenye vyakula kama vile unga” Amesema Mhe. Kissa.

Kwa upande wake, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Dkt. Ligobert Kalisa, amesema kuwa, mpango ni kuhakikisha kuwa kila kijiji kinapata elimu ya umuhimu wa Lishe Bora kwa watoto wadogo, na kwamba kumekuwa na matukio mbalimbali ya ufundishaji wa vitendo katika upikaji wa vyakula vyenye lishe kwa watoto.

Naye, Mkuu wa Idara ya Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg, Humphrey Mushi, ameshauri Idara ya Kilimo na Mifugo, kuja na namna bora ya uboreshaji wa ardhi na matumizi bora ya pembejeo ili kupata mazao yenye ubora kutokana na kuwepo kwa mvua nyingi ndani ya Wilaya ya Makete.

Sambamba na hayo, Afisa Lishe wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Bi. Jackline Nannauka, akihitimisha wasilisho lake kwa mkuu wa Wilaya ya Makete, ameshukuru kwa ushirikiano mkubwa anaoupata kutoka kwa viongozi  kuanzia ofisi ya Mkuu wa Wilaya hadi kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 18, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWENYE MIRADI KIKAMILIFU

    June 04, 2025
  • MAKETE IPO TAYARI KWA BBT

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.