• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DC SWEDA AONYA UZEMBE KAMATI YA UJENZI KITUO CHA AFYA MBALACHE

Tarehe Iliyowekwa: October 26th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda ameiagiza Kamati ya ujenzi Kituo cha Afya Mbalache kuhakikisha inanunua vifaa vyote muhimu zikiwemo nondo ili kutokwamisha ujenzi wa Kituo cha Afya.

Ametoa agizo hilo akiwa eneo la ujenzi wa Kituo cha Afya Mbalache kukagua na kuona hali ya ujenzi imefikia hatua ipi tangu Serikali ilipotoa fedha miezi miwili iliyopita.

BONYEZA HAPA KUTAZAMA VIDEO

Mheshimiwa Sweda amesema kutokuwepo kwa vifaa katika eneo la ujenzi kunasababisha kuchelewa kwa ujenzi, hivyo ameitaka kamati ya ujenzi kuhakikisha inanunua vifaa vyote ili kuendana na kasi ya ujenzi kwa mujibu wa mkataba.

“Hapa hakuna nondo kwa mujibu wa fundi, mnakaa wiki nzima bila vifaa hamuoni kama mnachelewesha kazi? Nataka kesho vifaa vyote ambavyo havipo zikiwemo nondo ziwepo hapa ili fundi aendelee na kazi kwa kasi maana mvua nayo imeshaanza kunyesha niwasisitize kamati acheni uzembe”.

Kwa upande wao wananchi waliofika kufanya shughuli ya upangaji tanuri la tofali ili kuzichoma, wameishukuru Serikali kwa kuwapatia fedha za ujenzi wa Kituo hicho na wamesema wapo tayari kuendelea kutoa ushirikiano katika ujenzi huo

“Tunaishukuru Serikali kwa kutupatia fedha, tumeteseka kwa muda mrefu kufuata huduma Ikonda au Wilaya ya Wanging’ombe Kituo cha Afya Kipengere au tufuate huduma Lupila jambo ambalo wanawake wanapohitaji kujifungua wanakumbatana na changamoto kubwa ya gharama na kusafiri umbali mrefu”.

Halmashauri kupitia mapato yake ya ndani imetoa fedha kiasi cha shilingi Milioni 400 kujenga Kituo cha afya Mbalache kwa lengo la kusogeza karibu huduma kwa wananchi wa Kata hiyo yenye vijiji vitatu ambavyo ni Lupombwe, Mbalatse na Kisasatu

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.