• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DC SWEDA APONGEZA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KATA YA MFUMBI

Tarehe Iliyowekwa: February 7th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Makate, Mhe. Juma S. Sweda, Februari 7, 2024 ameipogeza halmashauri ya wilaya ya Makete, pamoja na kuishukuru serikali ya Tanzania, kwa kutenga fedha ili kujenga kituo cha Afya kata ya Mfumbi, kutokana na umuhimu wake katika jamii.

Akizungumza mara baada ya kufanya ukaguzi wa Ujenzi huo, Mhe. Sweda, amesema kuwa serikali ya Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, inayoongozwa na Rais Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imelenga kuboresha huduma za afya, kwa Mama na mtoto kwakuwa wamekuwa wakipoteza uhai wao hasa wakati wa kujifungua.

“niwapongeze sana halmashauri ya Wilaya ya Makete, kwa kufanya maamuzi haya ya kujenga kituo cha Afya katika kata hii ya Mfumbi, lakini pia namshukuru sana Rais wetu Mhe, Dkt. Sami Suluhu Hassan, kwa kuleta fedha hizi ili ziweze kuboresha huduma ya afya katika kata hii” Alisema Sweda.

Kwa upande Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. William Makufwe, amesema kuwa, lengo la serikali ni kuhakikisha kuwa kila kata inakuwa na kituo cha Afya, na kwamba hadi sasa serikali imeshajenga vituo vya afya vitano, katika kata za Halmashauri hiyo ambazo zimekuwa na uhitaji mkubwa kutokana na wingi wa watu pamoja na sababu za Kijiografia za upatikanaji wa huduma hiyo muhimu.

Naye Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Mhe. Hawa Kader, ameishukuru serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwajengea kituo hicho cha Afya bora kabisa, ambacho kitaenda kutatua kero ya mufa mrefu katika upande wa uzazi.

Nao baadhi ya akinama wa Kijiji Cha Kimani, wamemshukuru Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kwa kuwajengea kituo hicho, kwakuwa ametatua changamoto kubwa sana ambayo imekuwa ikiwatesa kwa muda mrefu.

Ikumbukwe kuwa mradi huo wa kituo cha Afya cha Mfumbi, unajengwa kwa kutumia mapato ya ndani, kwa kushirikiana na TASAF, ambapo hadi sasa kiasi cha shilingi milioni 264,553,226.74 zimetumika katika kuhakikisha kuwa majengo mawilia ya OPD na Mama na Mtoto yanakamilika kwa wakati ifikaapo mwezi wa nne

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.