• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DC SWEDA AWATAKA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI KUSIMAMIA KANUNI NA SHERIA ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Tarehe Iliyowekwa: September 30th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Juma S. Sweda, amewataka wasimamizi wa uchaguzi kusimamia kanuni na sheria za uchaguzi ili kuepukana na migogoro isiyo ya lazima katika maeneo ambayo watapangiwa kusimamia uchaguzi huo.

Mhe. Sweda, amesema hayo leo Septemba 30,2026, wakati akiongea na wasimamizi hao kwenye ukumbi wa Bomani, uliopo makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Makete.

“Zieleweni kanuni na sheria za uchaguzi ili mkawe wasimamizi bora katika maeneo yenu, uchaguzi unautaratibu wake, hivyo fuateni miiko ya utumishi wa umma pamoja kiapo chenu” Alisema Sweda.

Aidha, amesema kuwa hakikishe kuwa 4R za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, zinatumika katika kutekeleza majukumu yenu ya kiuchaguzi, pamoja na kufuata weledi katika majukumu yao.

Ikumbukwe kuwa, Uchaguzi wa serikali za mitaa utafanyika Novemba 27,2024 hivyo wananchi wote wanatakiwa kuandikishwa katika daftari la mkazi ili waweze kupiga kura siku hiyo ya uchaguzi.

Kwa Upande wake, Msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Makete, Ndg.William M. Makufwe, amewataka wasimamizi hao wa Uchaguzi kuhakikisha kuwa wanasoma miongozo na Kanuni za Uchaguzi ipasavyo na kunielewa Ili waweke kutekeleza majukumu yao pasi na shaka.

Nae, Kamanda wa TAKUKURU Wilaya ya Makete, Ndg. Chilomwa Bitulo, amewataka wasimamizi hao wa Uchaguzi kutokuwa kikwazo katika kukamilisha kwa shughuli hiyo ya kiserikali, Kwa kutojihusisha na rushwa ya namna yeyote ile.

Hata hivyo, Taasisi ya Usalama wa Taifa Wilaya ya Makete, imetoa Elimu ya umuhimu wa kutunza siri katika shughuli nzima ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ila kutozua taharuki ambayo itazorotesha amani Wilayani humo.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA - UTOLEWAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI 2025-2026 November 16, 2025
  • MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA AAGIZA KUKAMILISHA MIRADI KWA HARAKA

    November 26, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI MAKETE DC , JERRY MWAGA, AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII

    November 13, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. KISSA KASONGWA AWATAKA WAFANYABISHARA WILAYANI HUMO KUWEKEZA NYUMBANI

    November 12, 2025
  • DED MWAGA AONGOZANA NA MENEJA TARURA KUKAGUA BARABARA YA MANG'OTO IBAGA

    November 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.