• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DED MAKETE , AAHIDI KUSHIRIKIANA NA UWODO KUPAMBANA NA UDUMAVU.

Tarehe Iliyowekwa: November 14th, 2023

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg.William M. Makufwe amewaagiza wakuu wa Idara na Vitengo, ambao wanahusika na makuzi ya Mtoto kuhakikisha kuwa wanashirikiana na Shirika lisilo la Kiserikali la UWODO, kuhakikisha wanatokomeza Udumavu, Wilayani Makete.

Ndg. Makufwe, amesema hayo leo, November 14, 2023, wakati wa uzinduzi wa Mradi wa MTOTO KWANZA, ambao umefanywa na Shirika la UWODO, katika ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete."Ni vizuri sasa tukashirikiana kwa yale tuliyoyapanga kwenye Bajeti zetu, na yale wao waliyoyapanga hasa kwenye Lishe, kwakuwa tunachangamoto katika kuwafikia, na hili lisiishie Kwenye vikao tu, nataka kuona kazi ikitendeka"Alisema Ndg. William M. Makufwe.

Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Wilaya ya Makete, Dkt. Ligobert Kalisa, amesema watashirikiana vizuri na Shirika Hilo kikamilifu, Ili kuhakikisha asilimia 50.4, zinaisha sambamba na kuwafanya watu wale Vyakula vyenye ubora.

Naye Afisa Elimu Msingi, Mwl. Sylivia Chawaka, amesema kuwa Wilaya ya Makete, inakabiliwa na changamoto kubwa ya Udumavu, hivyo basi mradi huo utajenga uelewa namna ya kupambana na ukatili kwa Watoto.

Akizindua mradi huo, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la Kiserikali la UWODO Ndg.Hamisi Kasapa, Shirika limekuja na mradi wa MTOTO KWANZA, Ili kuhakikisha wanapambana na changamoto ambazo zimekuwa zikiwakumba Watoto kupitia Mpango Jumuishi Kitaifa wa Malezi, Makuzi na Maendeleo ya awali ya mtoto.

" Mradi huu utakijika kwenye suala la Lishe, Afya na Maeneo ya Kujifunza Kwa kuzingatia Ulinzi na Usalama wa Mtoto" Imeandaliwa na: Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini, Halamshauri ya Wilaya ya Makete"  Alisema Ndg. Kasapa. 


Imeandaliwa na: 

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,

Halmashauri ya Wilaya ya Makate.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.