• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DED MAKETE AKABIDHI VITI MWENDO KWA WANAFUNZI

Tarehe Iliyowekwa: July 9th, 2022

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Makete Ndg. William Makufwe amekabidhi viti mwendo vinne kwa wanafunzi wenye ulemavu shule ya Msingi Matamba, Lupila na Lupalilo sekondari.

Makufwe amekabidhi viti hivyo vilivyotolewa na Mangreth Matonya Mkurugenzi Elimu maalumu Tanzania kutoka Wizara ya Elimu kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi hao kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazowakabili kufuatia ulemavu mbalimbali wa viungo vya mwili walionao

Akiwa shule ya Msingi Matamba Kata ya Matamba Mkurugenzi huyo amesema lengo la Serikali ni kuwasaidia wanafunzi hao waweze kutimiza ndoto zao na kuwasihi kuendelea kusoma kwa bidi ili kutimiza ndoto zao kielimu.

Wanafunzi waliokabidhiwa viti hivyo ni Ruth na Eliberth ambao wanaulemavu wa viungo mbalimbali na kushindwa kutembea.

Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Matamba Meclaudi Mahenge pamoja na kushukuru kutolewa kwa viti hivyo amesema wanafunzi hao wamepata unafuu wa kutembea kwa kutumia viti mwendo hivyo na sasa watajisikia furaha zaidi kwa usaidizi wa viti hivyo.

Wakiwa shule ya Sekondari Lupalilo ambapo mwanafunzi wa kidato cha nne Nesta Sanga na Lupila Sekonda mwanafunzi Kastori Gindo, kila mwanafunzi amekabidhiwa kiti chake na wameshukuru uongozi wa Elimu maalumu kwa kuona changamoto waliyonayo wanafunzi hao na kuwasaidia kwani itawafanya kuwa na mazingira rafiki ya kujisomea na kuhudhuria vipindi vya masomo kwa wakati.

Kwa niaba ya Mkuu wa shule ya sekondari Lupalilo Mwalimu P. Mtewele ameshukuru jitihada za Serikali katika kuweka mazingira rafiki kwa wanafunzi wakiwemo wenye mahitaji maalumu kwa kuwapatia vifaa wezeshi na kujenga miundombinu rafiki kwenye madarasa n ahata bwenini.

Afisa Elimu maalumu Wilaya ya Makete Mwalimu Asnati Singano amebainisha uwepo wa wanafunzi wawili wa kidato cha tano wenye changamoto ya usikivu ambao amesema watapelekwa Njombe kwa ajili ya vipimo ili waweze kuona namna ya kuwasaidia zaidi.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA - UTOLEWAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI 2025-2026 November 16, 2025
  • MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA AAGIZA KUKAMILISHA MIRADI KWA HARAKA

    November 26, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI MAKETE DC , JERRY MWAGA, AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII

    November 13, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. KISSA KASONGWA AWATAKA WAFANYABISHARA WILAYANI HUMO KUWEKEZA NYUMBANI

    November 12, 2025
  • DED MWAGA AONGOZANA NA MENEJA TARURA KUKAGUA BARABARA YA MANG'OTO IBAGA

    November 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.